Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Saa hizi itakuwa vilio tu yaani. Dunia hii we acha tu. Mungu Amtie nguvu mtumishi wake; na mzee apate pumziko jema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Poleni sana Anko, kila nikimpigia simu yake simpati hewani.
Pole sana chiefPole sister Saint Anne
Maisha ndivyo yalivyo mi nlimpoteza mama February this this year nlihis dunia imepinduka.
Amina [emoji120][emoji120]Saa hizi itakuwa vilio tu yaani. Dunia hii we acha tu. Mungu Amtie nguvu mtumishi wake; na mzee apate pumziko jema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nshapoa mkuuDah...naogopa hata kuimagine![emoji24][emoji24]! Pole mno aise!
Nshapoa mkuu, maisha yanaendelea, japo hasahaulikiPole sana chief
Undalii?Utaongezea kule juu. Alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.