Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Hii habari inasaidia vipi juu ya vyeti?? Kwamba Gwajima alizaa na huyu mama
Na Daudi Hana vyeti kwahiyo wote wanafanana au? Huyu anasema aliombwa sasa alikubali au hakubali tuambiane ukweli!!
 
Kujiweka safi ni kwenda kwenye vipimo vya DNA.
 
Mawio lipo hewani, mwanahalisi pia!!
Hayo yote SERIKALI ILIYAPIGA BAN mawakili wamepambana mahakamani na serikali imeangukia pua!!!!!

UNALO??

LIMEWASHUKA SHUUUUUUUU!!
 
Sasa kama huyo dada alikubali kutoa tamu mwenyewe kwa hiari yake mwenyewe maana hakulazimishwa akubali kutoa tamu Bali na yeye alikuwa na hamu faida yake ndo hiyo analalamikia nini
 
Walikua wapi kumleta huyo mtoto kabla ya Bashite kutakiwa kutoa vyeti?

Bashite toa vyeti sio watoto
 
Jumapili ni kesho... Usikose kwa Gwajima..!
 
Hapo wamaeshapanga mchongo wakienda kupima DNA mtoa majibu keshajipanga kusema ni 100%.
Wacha porojo weka vyeti kwanza!
 
Mh! Hii sasa kali,ngoja nitege sikio mpaka DNA yupo Tayari...
 
Ushsuri wangu kwa Gwajima muumini atakae kuja kuomba uduma ya kiroho me, na muumini atakaekuja anataka "DUSHE" a.k.a "BOMBA" msukumizie,wala usiofu zote izo ni uduma,ilimladi usibake,kama anasaula mwenyewe viwalo chochea baba Askofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…