johnlowasa
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 121
- 76
Tena mama mtoto mtu wa mungu na ametaka na yuko tayari kwenda kupima damu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekeeni kadi ya mahudhurio ya clinic na cheti cha tangazo la kuzaliwa kwa mtoto tuone ukweli.
Kwani Gwajima ni nurse?Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Mkuu DNA ndiyo msema kwelihakuna mwenye na uhakika, yaweza ikawa kweli ama laaa, lakini mama ndiye amjuaye BABA wa mtoto,
Pia yaweza kuwa ni kiki hatuwezi jua
Alete vyetiHii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
ulipoteaga sijui ulienda wapi Sasa umerydi jamv in. Rudisha Ile avatar picha yako ya zaman ya hitler
Si mbaya mchungaji kula kondoo wake!!Huyu binti ni yatima mzaliwa wa Gumanga Kiomboi Singida. Alikwenda kutafuta msaada wa kiroho ndipo akakutwa na mambo hayo.
Kwa hiyo umekuja hapa ili umsafishe Bashite,uyo mama mwambie kama kazalishwa na Gwajima alipanua mwenyewe kwa nyege zake,wakati anapanuliwa alienda kwenye media,na wewe kama unaona uyo mama alifaidi na wewe kampanulie Gwajima ili muwe kampuni moja,acha upoyoyo bwege wee.Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.