amadeusity
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 560
- 291
Kama ni Uhuru Fm ziwezi amini kwanza hiyo ni redio ya mafisiem redio ya chama cha kina bashite so ni mpangoHii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Kwani yatima haruhusiwi kupigwa mimba mkuu?Huyu binti ni yatima mzaliwa wa Gumanga Kiomboi Singida. Alikwenda kutafuta msaada wa kiroho ndipo akakutwa na mambo hayo.
Kwahiyo Yatima ndio hawezi kubana MiguuHuyu binti ni yatima mzaliwa wa Gumanga Kiomboi Singida. Alikwenda kutafuta msaada wa kiroho ndipo akakutwa na mambo hayo.
Wacheni upumbavu hapa. Huyu jamaa ni mzinzi sana. Kama aliweza kuitatiza ndoa ya Mbasha anashindwaje kula kondoo wake wengine bwana. Bashite sawa. Lakini na haya anapaswa ayajibu kwa sababu si sawa kwake kuwala kondoo anaowachunga.Tumalize kwanza la Bashite, la huyo mama ni very personal kama hajuwi aelekezwe aende usitawi wa jamii watamaliza issue yake kama jambo lake ni kweli. Lakini hata kwa hisia tu hamna kitu hapo ndo maana kapeleka kwenye hiyo Redio.Na hili swala la Bashite lisipo shughurikiwa mapema, tutashuhudia kila aina ya Ngwala zikipigwa
Akili yako ni ya kijinga sana.Hawa ndio wale wapuuzi watumikao na ccm kama makarai ya ujenzi
Jamaa wamemvuta kendePamoja na hayo.....hiyo haiwezi kumsafisha Bashite. Period!
Askofu hana kosa la jinai hapo, aendelee kumtumia huyo dadaKwani yatima haruhusiwi kupigwa mimba mkuu?