Ahaaaaa...sasa yeye alitumia busara gani kumshambulia bwana yule>?? si angekaa kimya tuWenye busara hawajibugi halafu inapotelea huko
Hahahaha kazi kweli kweliHuyu sindiyo aliiba mmke wa mbasha pia.
Ahaaaaa...sasa yeye alitumia busara gani kumshambulia bwana yule>?? si angekaa kimya tu
Teh teh teh teh teh teh hicho kiswahili nimekisevuFrikwensi gani tumsikilizw huyo kada
Kiufupi mimi siwezi kumtetea gwajima katika hili,
Inawezekana alikula tunda... Namshauri tu gwajima amlee huyo mtoto basi.
Ila bashite alete vyeti.
Wa kufoji huyo Dada!Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Kesho lazima Gwajima awashe [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Kumjaza mwanamke mimba si kosa la jinai...Frikwensi gani tumsikilizw huyo kada
Kiufupi mimi siwezi kumtetea gwajima katika hili,
Inawezekana alikula tunda... Namshauri tu gwajima amlee huyo mtoto basi.
Ila bashite alete vyeti.
Tena ukute mwanamke mwenyewe kajipeleka na kumvulia chuupi baba mchungaji..Kumjaza mwanamke mimba si kosa la jinai...
Kufoji vyeti ndo jinai tunayotaka ipatiwe ufumbuzi