Allelujah
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 452
- 414
Bla bla za nini..msibadil malengo ya vyetiHii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.