Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Bla bla za nini..msibadil malengo ya vyeti
 
Mkuu una vielelezo? Maana Radio yenyewe uliyoitaji bora hata TBCCM. Hiyo radio ni kada namba 1. Ungekuwa hauna vinasaba vya kibashite bashite usingeandika kiumbea hivyo.
Chukulia hilo linalosemwa ni la kweli, je, alimbaka au alivua/ kuvuliwa nguo kwa hiari yake? Kama ni kwa hiari yake shida iko wapi?
Fungua usikilize, acha ushabiki wa kijinga. Mimi nimeweka jukwaani kama news nyingine. Kweli ama si kweli I don't give a https://jamii.app/JFUserGuide!!
 
Kutafuta udhaifu wa Gwajima ili kuzima ukweli wa suala la Bashite, ni sawa na kutangaza kwa sherehe mema ya Makonda ili kuficha ukweli.
Kosa la kumkataa mtoto huamuliwa kisayansi na ikijulikana ni wako hukumu yake ni kulipa gharama tu za malezi tofauti na kosa la udanganyifu wa vyeti na nyaraka pamoja na kujipatia mali haramu.
 
Jumapili si ndio kesho...kwi kwi kwi...
Waache wamchokoze mzee wa 'single touch double manifestation....' atumalizie story nzima ya 'call me J'...
Yani hawa jamaa kama wanampenda mtu wao wangeacha kabisa kumchokonoa Gwajima
 
Hawa ndio wale wapuuzi watumikao na ccm kama makarai ya ujenzi
Kwanza nimekupa like yako, halafu nikiunga mkono pointi yako; wanawake kama hawa ndo wanaosababisha wanawake waonekane binadamu wa daraja la pili wakati haipaswi kuwa hivyo. Alikufa Kanumba wanawake from no where wakajitokeza na vichanga mgongoni, wamezalishwa na Kanumba. Leo huyu naye ghafla kazaa na Gwajima. Aende ustawi wa jamii watamsaidia, atuache sisi na Bashite wetu tutamalizana kimya kimya.
 
Huyu mtangazaji nae mjinga mjinga tu tayari anaonekana yupo kwenye upande wa huyo mama.

Kama mtangazaji sidhani kama unatakiwa kuwa na upande kabla ya vithibisho.
 
Hata kwenye vitabu vya dini vimeandika ikimbie zinaa.

Wachungaji mjue wana wakati mgumu sana wanavyowaombea hawa watoto wa kike.
Kuna majaribu mengi sana...
Gwajima lako hili baba.

Ila bashitee hatumwachi pia
Hii movie sio ya kutengenezwa kweli?
 
alibakwa au alivua chupi mwenyewe? hebu muulize maana hicho kiredio sifungulii kabisa .
 
Nafikiri Yule Bwana Wa Kolomije Amefanya Kitu Ili Kumchafua Tena Gwajima Sio Bure.
 
Back
Top Bottom