Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
ISHU SIYO UMALAYA WA HUYO MAMA, ISHU NI VYETIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Hii redio inasikiliza Misukule ya Lumumba haina kitu cha maana ndo maana inajiendesha kwa hasara matokeo yake hela za chama ndo zinahudumia
 
Hii redio imekaa kishabiki sana aisee.

Hakuna kipya hapo na naanza kuamin hii issue imetengenezwa.
 
Gwajima ni mwanaume bhana sasa kama aliona ni mashine nzuri kwa nini asiitendee haki, hata kama ni mimi ningepita nae ningerudi kwa Mungu kutubu
 
KUNA DADA AITWAE MAMA MAX YUPO KATIKA REDIO UHURU AKITOA USHUHUDA WA KUTIWA UJAUZITO NA KUZALISHWA NA ASKOFU MAARUFU KWA KUDANDIA NA KUROPOKA HOVYO , SASA NA HILI NALO ALIVALIE NJUDA HUKO KANISANI, TAPELI BIN FUSKA MKUBWA
NJUDA ndio nini? Halafu mbona una hasira sana?

Mwambie Bashite alete vyeti...
 
Mie simo maana ye alisema akichokozwa tu anarusha makombora kwa Bashite maana ndo Anawatuma.




 
Naona Gwajima achague Kufanya kazi ya Kanisa au afanye siasa maana anatuhuma Sana za kuzalisha wake za watu. Halafu anatumia madhabahu kuhibiri siasa kitu ambacho ni kinyume.Nachelea kumuamini huyu anayejiita mtumishi wa Mungu.
 
ni njia ya kutaka kumtoa gwajima kwenye ishu ya vyeti!
Hakuna lolote!
Akili hizi! hivi wanafikiri wanaweza kumtoa mtu kwenye reli?
 
Back
Top Bottom