Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Umekomaa na thread, huyo binti ana kiherehere tuKahojiwa mwanamama wa ustawi wa jamii ubungo kasema tatizo ni matunzo ya Max na haki ya mtoto kumjua baba.
Leteni vyeti, hizi ni case mbili tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekomaa na thread, huyo binti ana kiherehere tuKahojiwa mwanamama wa ustawi wa jamii ubungo kasema tatizo ni matunzo ya Max na haki ya mtoto kumjua baba.
Kiomboi ni makao makuu ya wilaya ya IRAMBA, huko Gumanga ni wilaya ya MKALAMAHuyu binti ni yatima mzaliwa wa Gumanga Kiomboi Singida. Alikwenda kutafuta msaada wa kiroho ndipo akakutwa na mambo hayo.
Nyenyere unatrend na thread yako [emoji13] [emoji13] usije kuwa ndio bashite mwenyeweMimi nimeripoti tu, otherwise una matatizo
Wee mjinga kweli. Hii ni habari kama nyingine nyau wewe. Usipende kusikia uyatakayo. Tena koma kunishambulia mimi chizi wewe. Mimi nimeripoti kinachoendelea tu. Uwe na adabu, nyambafu!!