MwanaMfalme Louis atimiza umri wa miaka 3, aanza Shule Rasmi

MwanaMfalme Louis atimiza umri wa miaka 3, aanza Shule Rasmi

Bado wanakuwa wamedumaa akili pia ni wachache wanaokaa mazingira ya kuchangamka ndo wanachangamka
Sio kweli Mkuu, Shule niliyosoma Primary tumefundishwa na wa UK, Irish na US miaka kenda iliyopita na wamewahi kukiri kuhusu uelewa wetu hasa kujifunza masomo zaidi ya 5 na kufanya vizuri yote wakati watoto wa umri wetu kule kwao iilikuwa ni shida.

Imagine tunasoma Hesabu, Maarifa ya Jamii, Sayansi, Stadi za Kazi, kiswahili, English n.k tuko class 3 na yote tunaweza wakati kwao wanasema ilikuwa wanasoma masomo 2 tu.
 
Acha uongo ww sidhani hata mwanao kwa umri uo anaweza hata kutembea vizur lazima ana mwendo wa kilevi miaka3 bongo mtoto mdg sana
Basi huenda wanatofautiana, me wangu miezi 8 alikuwa anatembea na miaka 2.5 tayari ameenda shule.

Suala la urefu na ufupi hayo ni mambo ya genetics. Mambo ya homozygous "T" na heterozygous "Tt". Ila Watanzania wengi wana urefu wa wastani wa 155cm akizidi sana 185cm.

Ni asili yetu, hatuwezi kubadilisha chochote kwa sasa
 
Huku kwetu mtoto mwenye umbo kama hilo angekuwa na umri wa miaka 6 au 7!! Mtoto wa miaka 3 anaendesha mpaka baiskeli!! Dah! Kweli Watoto wetu wamedumaa aisee!
Tatizo lishe ndugu toka mimba mpaka kuzaliwa na ukuaji
 
The Duke and Duchess of Cambridge have released a new picture of Prince Louis to celebrate his third birthday and mark his first day at nursery school.

The photograph was taken at Kensington Palace by the duchess, shortly before Louis set off for Willcocks Nursery School for the first time on Wednesday.

Smartly dressed in shorts, a shirt and a jumper, he sits on a red Frog bicycle with a rucksack on his back.

Prince William and Catherine were said to be "delighted" to share the update.

View attachment 1761300
I wish MwanaMalundi au Chifu Majebele na wajukuu na vitukuu vyake wangekuwa wanafuatiliwa hivi hivi na zaidi...🙁😕
 
Huku kwetu mtoto mwenye umbo kama hilo angekuwa na umri wa miaka 6 au 7!! Mtoto wa miaka 3 anaendesha mpaka baiskeli!! Dah! Kweli Watoto wetu wamedumaa aisee!
Labda mtoto wako mkuu..hata watoto wetu wako hvyo hvyo...
 
Back
Top Bottom