Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sio kweli Mkuu, Shule niliyosoma Primary tumefundishwa na wa UK, Irish na US miaka kenda iliyopita na wamewahi kukiri kuhusu uelewa wetu hasa kujifunza masomo zaidi ya 5 na kufanya vizuri yote wakati watoto wa umri wetu kule kwao iilikuwa ni shida.Bado wanakuwa wamedumaa akili pia ni wachache wanaokaa mazingira ya kuchangamka ndo wanachangamka
Imagine tunasoma Hesabu, Maarifa ya Jamii, Sayansi, Stadi za Kazi, kiswahili, English n.k tuko class 3 na yote tunaweza wakati kwao wanasema ilikuwa wanasoma masomo 2 tu.