Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Kwa
UTARATIBU uliopo kwa sasa hata binti ATAKUWA queen hivyo basi kabla ya Harry kuna Charles, William, George, Charlotte, na Luis hivyo Harry ni 6 sasa. Chances are now slim.
 
Kwa

UTARATIBU uliopo kwa sasa hata binti ATAKUWA queen hivyo basi kabla ya Harry kuna Charles, William, George, Charlotte, na Luis hivyo Harry ni 6 sasa. Chances are now slim.

Mkuu, elewa nilichoandika maana kina uhakika wa asilimia 100.

Harry ni mtu wa tano kufuatia kofia ya ufalme.

Charlotte nafasi yake imechukuliwa na Louis hivyi kumshusha Charlotte kuwa baada ya Harry.

Charlotte hawezi kumpita Harry kwenye hicho kiti ndivyo mahesabu ya kukifuata kiti hicho yalivyo.

Ni utaratibu tu lakini inajulikana Mfalme ajae na anaeandaliwa ni William.
 
Hivi kwenye huo mstari wanaosubiri wanaangalia na gender pia?!, kwamba Charlotte anapitwa na mdogo wake wa kiume, na anapitwa na uncle wake Harry, kwa sababu yeye ni wa kike?!
 
Hivi kwenye huo mstari wanaosubiri wanaangalia na gender pia?!, kwamba Charlotte anapitwa na mdogo wake wa kiume, na anapitwa na uncle wake Harry, kwa sababu yeye ni wa kike?!
Queen Elizabeth II amekuwa malkia kwasababu hakuzaliwa na kaka. Kama Princess Margaret angekuwa wakiume Elizabeth angerukwa. Sheria ilibadilika 2013 siku hizi the first born whether is a girl or a boy becomes a hare to the throne
 
Hii ndio current line of succession....source: Wikipedia
 
Ahsante kwa kunirekebisha na uko sawa kwa asilimia 100.

Chanzo nilichokuwa naangalia kilikuwa ni kabla ya ujio wa mwanamfalme mtoto Louis wa Cambridge.
 
Naona Harry anaweka History nyingine ya kuoa commoner lakini Meghan ni to the core.
Manake ni Mmarekani, divorcee halafu ana damu nyeusi.
Royal family wamepatikana haswaa! [emoji3]
Looks like Harry likes wild stuff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…