Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Huyu demu ana bahati sana yaani na kigimbi chote hiki kama Nsajigwa bado amemudu kuusogelea Uprincess na kuzama Buckingham palace kiulaini. Achilia mbali uafrika wake, divorced, scandals, being American e.t.c but she made it to the palace.

Women don't give up hata kama single mother...love conquer all, siku moja ataingia kingi hata Mohammed dewji muhimu ni ku hang sehemu ambazo Dewji anahang..you never know..shiit happen!! ..kama Ntuyabaliwe alivyompofusha Mengi kirahisi na kupunguza ukali wa maisha akiwaacha Wema na wenzie wakipauka kitaani.
 

Bila shaka mkuu, upo sawa kwa asilimia 110.
 
Sky Eclat witnessj

Mpya kutoka Kensington Palace.

Prince Charles will walk his future daughter-in-law Meghan Markle down the Aisle..

Nadhani Meghan pia alitaka kupata kitu Fulani kwenye masuala ya kifamilia maana baba yake naona kichwani hajatulia sana kiasi cha kuanza ujinga na kuishia kupata ugonjwa wa moyo.

Lakini mama yake Meghan alitua London jana na Charles ndiye badala yake atamshika mkono Meghan kuingia nae kanisani Quire of St George's Chapel kesho kumuoza kwa niaba ya mzee Markle.

This has to be done in hard way regardless.
 
Wanawake ni kulilia bahati uzuri tupa kule
 


Hahah!, yaani wewe, eti umeona kigimbi tu! 😀

Umetoa somo zuri tho, pamoja na mifano hai..

Meghan sure found her Prince...like for real for real. What are the odds on that huh!
 


Hii sijawahi kusikia, baba mkwe mtarajiwa kum walk mkwe wake mtarajiwa down the Isles?!!

Mitandaoni naona Wamarekani wamecharuka, tons of comments suggests Mama yake Meghan ndio angem walk binti yake kanisani. Naona kwao sio issue and they'd rather iwe hivyo kuliko baba mkwe. Au sijui kwa sababu ni Charles..
 
Jamanii yaan utafikiri wanaishi nao pale palace

Unafahamu mtu kama Prince Harry akisema kwamba ameamua kuoa watu wanashangaa na kuacha midomo wazi tena anakuja na mtu asietarajiwa.

Hiyo ni kwasababu mtu charming kama huyu ni mtu anaependwa sana na wazungu kutokana na utundu wake ingawa hamfikii kaka yake kwa umaarufu.

Kwa watu kama mimi ambae tumemfuatilia Prince Harry tangia amezaliwa tunaona kwamba hii ni hatua kubwa sana alochokua khasa ukizingatia kuwa hawa vijana walimpoteza mama yao katika mazingira tatanishi.

Hivyo tumpongeze Prince Harry kwa kuamua ku-settle down na mwanadada Meghan.

Ratiba kamili.

Leo usiku wanalala kwenye kitongoji cha Windsor Castle kwenye kajumba kaitwacho Clavedine House pamoja na watoto wote wapambe wakiwemo Prince George na Charlotte.

Jumamosi asubuhi sherehe yaanza.
 

Ni Meghan mwenyewe amemwomba Charles afanye hivyo na hawa wawili wanaelewana sana.

Ila ni kweli kwa taratibu ilibidi kazi hiyo ifanywe na mjomba mtu .

Na nafikiri utaelewa kilichotokea hapo, mjomba mtu nae akubalike hapo kumwingiza Meghan kanisani?

Hapo kidogo kunatia doa kuona kwamba Meghan ameshindwa kutoa sauti kwamba anataka nani amwongoze kuingia kanisani.
 
Mturushie na picha
 
Hahah!, yaani wewe, eti umeona kigimbi tu! 😀

Umetoa somo zuri tho, pamoja na mifano hai..

Meghan sure found her Prince...like for real for real. What are the odds on that huh!
Ahahaha!! Nalendwa sema ukweli my eyes stuck kwenye hicho kigimbi cha kibabe yaani kama winga wa Yanga afrika ya miaka ile anaitwa Said Maulid aka SMG alikuwa anakimbia kama risasi huyu njemba na kigimbi chake lilikuwa size ya hicho cha Megan. Ahahaha!

But kuna mengi ya kujifunza kutokana na hii Royal wedding mostly about the power love and affection.....love is in the air and it happens in unnatural and uncontrolled way...that's why you can't be in love and be smart at the same time you must be craaazy in love..Prince harry has lost his mind and he can't help zaidi ya kumuoa mtoto wa mjini Megan. Amezidiwa na mahaba tu.

Love is the most powerful thing ever. Their affection bonds sasa hivi its unbreakable.

Love is the truest of all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…