Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle



Aawww!, This's so kind of You!!! [emoji120]

..Speechless here!..[emoji817]
 
..
Kesho ngoma itakayotawala ni Dada huyo anaolewa...wamarekani waswahili sana nawajua uzuri ndio maana Rihana wamemkaushia kwenye mwaliko, walijua wanaweza kusuprise pale Buckingham palace kwa kigodoro cha kibabe sana.


Hahahahahh!, lakini wewe! [emoji23] [emoji23] [emoji23]

This was just too good, it deserved it's own space, eti kigodoro cha kibabe! [emoji1] [emoji28]

Hahah!, Wamarekani unaona wanajaribu kumsindikiza Mmarekani mwenzao. Naona hii weekend ni mwendo wa zile kofia na English tea mpaka kwa t.v presenters...lol

Halafu Rihanna tried to play it down when she was asked if she was invited for the wedding. Naona huko ni mwendo wa Royals tu..
 
Kama kawaida Elton John mwanamuziki alie na rich history na Diana pamoja na Royal family yote kwa ujumla ataperform live as usual.

Ikumbukwe ngoma yake ya "Candle in the wind" alilazimika kuinda upya na kuiwekea maneno yaliyomhusu princess Diana baada ya kifo chake but awali kwenye version ya 1 yalimhusu Marlin Monroe maarufu kama Norman Jean. Huu wimbo haiwezi kusahulika ndani ya Royal family hii kamwe.

Mara zote alikuwa akitumbuiza anawaliza Royal family wote endlessly but kesho atawakosha kwa ngoma zake kali zisizochuja...ikiwemo ngoma yake ya "can you feel the love tonight" then "sacrifice " na zingine Kali kibao zisizochuja zitazizimisha mioyo ya wahudhuriaji.

Picha ya pili mafans wa Royal family wakiwa wamepiga kambi kwa siku kadhaa Ku secure sehemu ya mbele kabisa ya barricade ili wawaone wapenzi hawa live.

Show inaanza sasa!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…