escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
I love youBasi sawa hamna neno mydear
Kama unafikiri wewe unapenda sifa, attention, cameras... tafakari mara mbili...David Beckham na Posh wanapenda sifa sana when it comes to fashion and stealing the show.
Hapa mapema Leo ndio wanafika maeneo ya Windsor shughuli itakapofanyika lakini bling walizotandika wanawafanya bwana na bibi harusi waonekane kama vile wasindikizaji.
Cool down the pace The Beckham family.View attachment 780946
Ngoja nimuulize iceman huwenda na yeye katokea royal family za kibongo bongo nikapate mema ya nchi mieAfadhali umemwambia baby wako. π
Halafu zawadi zenu hizi hapa kabla sijasahau..
View attachment 780947
View attachment 780948
Cc Iceman 3D
[emoji23] [emoji23] Royal wedding huwa tamu sana basi tu..!..Asie na mwana aeleke jiwe, leo ni leo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] Royal wedding huwa tamu sana basi tu..!
Nimesikia ITV wanataka wampeleke Alfred masako akafanye live coverage... I can't imagine anashout next ya wazungu....nkiripoti kutoka hapa Windsor Mimi ni kosimasi makooooongo wa ITV.... Siku hiyo hiyo deportation Kwa kusababisha noise pollution.
Ahahaha!! Harusi ya Kishua sio sawa na ya king kiba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] Royal wedding huwa tamu sana basi tu..!
Mara ghafla ITV wampeleke Alfred masako au kosimasi makongo akafanye live coverage ya wedding... I can't imagine anashout next ya wazungu....nkiripoti kutoka hapa Windsor Mimi ni kosimasi makooooongo wa ITV.... Siku hiyo hiyo deportation Kwa kusababisha noise pollution.
Ahahaha!! Harusi ya Kishua sio sawa na ya king kiba.
Haki nimecheka![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana aiseeh
EeehAfadhali umemwambia baby wako. π
Halafu zawadi zenu hizi hapa kabla sijasahau..
View attachment 780947
View attachment 780948
Cc Iceman 3D
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nimuulize iceman huwenda na yeye katokea royal family za kibongo bongo nikapate mema ya nchi mie
Nimecheka kwa nguvu kama mjinga ujueHaki nimecheka!
[emoji23] [emoji23]
Ahahaha!! Harusi ya Kishua sio sawa na ya king kiba.
Hahaha!, kwa kweli. Huwezi jua dear!Ngoja nimuulize iceman huwenda na yeye katokea royal family za kibongo bongo nikapate mema ya nchi mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha!, kwa kweli. Huwezi jua dear!
Naomba tu msinisahau kwenye UFALME wenu kama ni hivyo! [emoji1]
Eeeh
Ahsante jirani kwa zawadi
Ukipata na za William na Kate [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu Jirani. Nitajitahidi kuzitafuta kama bado zipo. π