Leo kuna mawili either uangalie fainali ya FA kati ya Chelsea Na Man U..... au Harusi ya mwanamfalme.... [emoji4][emoji4][emoji4]
Sawa Madame..... " Dstv wataonesha channel gani mimi nahisi fainali nitaangalia marudio "ninarecodi harusi niiangalie majukumu yakiisha
Royal family watu walishaichoka kukilisha kile kibibi na familia yake. Diana alikuwa karibu na watu sana na alifanya watu waipende Royal tena.Why not prince Charles?
Huo mtanange utakuwa wa kukata na shoka....GGMU kwanza maana ushindi au kushindwa doa la milele kuliko harusi ambayo kufungwa inafungwa vizuri na watu wanasherehekea
E wataonyesha kuanzia saa tanoSawa Madame..... " Dstv wataonesha channel gani mimi nahisi fainali nitaangalia marudio "
Halafu ndio wakamuondoa kwa maslahi yao binafsi.....Royal family watu walishaichoka kukilisha kile kibibi na familia yake. Diana alikuwa karibu na watu sana na alifanya watu waipende Royal tena.
Mbona mamaa kama vile ana mimba nyingine?Kama unafikiri wewe unapenda sifa, attention, cameras... tafakari mara mbili...David Beckham na Posh wanapenda sifa sana when it comes to fashion and stealing the show.
Hapa mapema Leo ndio wanafika maeneo ya Windsor shughuli itakapofanyika lakini bling walizotandika wanawafanya bwana na bibi harusi waonekane kama vile wasindikizaji tu.
Cool down the pace The Beckhams, you Rocking too fast.View attachment 780946
Saa tano za asubuhi maana naona ratiba zishaingiliana hapo....E wataonyesha kuanzia saa tano
nasikia huyu mwanae ana hela pia hata kabla ya kua na uhusiano na PrinceSometimes life can flip in a matter of second. One morning you woke up broke the next day you woke up in a 1.6 milion dollar car....Bugatti!
One day mama yake na Megan she was nothing...just yoga instructor get paid minimum wage in US...na alipokuwa anaondoka US kwenda Britain...alipanda Uber kuelekea airport na alikuwa amekula bugaluu lake la bei chee na karaba kake kakuchumpa but soon as she landed in Britain alipokelewa na Royal ceremonial military na akapewa royal VIP treatment pale Heathrow airport... Na akapakiwa kwenye ndinga Kali uelekeo kwenye palace. Huku Luis Vuitton wakipewa order ya kumtafutia nguo yake kali ya kwenye shughuli haraka.
Absolutely Unbelievable!!View attachment 780763View attachment 780764
Ila umbea wa mamtoni ni mzuriNinapenda umbea
Nasikia huyu Madam Eliton mke wa mtuKama kawaida Elton John mwanamuziki alie na rich history na Diana pamoja na Royal family yote kwa ujumla ataperform live as usual.
Ikumbukwe ngoma yake ya "Candle in the wind" alilazimika kuinda upya na kuiwekea maneno yaliyomhusu princess Diana baada ya kifo chake but awali kwenye version ya 1 yalimhusu Marlin Monroe maarufu kama Norman Jean. Huu wimbo haiwezi kusahulika ndani ya Royal family hii kamwe.
Mara zote alikuwa akitumbuiza anawaliza Royal family wote endlessly but kesho atawakosha kwa ngoma zake kali zisizochuja...ikiwemo ngoma yake ya "can you feel the love tonight" then "sacrifice " na zingine Kali kibao zisizochuja zitazizimisha mioyo ya wahudhuriaji.
Picha ya pili mafans wa Royal family wakiwa wamepiga kambi kwa siku kadhaa Ku secure sehemu ya mbele kabisa ya barricade ili wawaone wapenzi hawa live.
Show inaanza sasa!
View attachment 780935View attachment 780936
Nasikia huyu Madam Eliton mke wa mtu
Royal family watu walishaichoka kukilisha kile kibibi na familia yake. Diana alikuwa karibu na watu sana na alifanya watu waipende Royal tena.
Yeah! Jamaa Elton is married and proud.Nasikia huyu Madam Eliton mke wa mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuko wengi kumbe nimeenda kugongea kwa mpangaji hapaa!hivi inaanza saa ngapi?Ngoja nishinde hapa tu leo. Kama uchawi vile king'amuzi kukata siku muhimu kama ya leo
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Sanaa tuu!amejiongeza mnoooVictoria bila Beckham tungeshamsahau Kama wale space girls wengine.
Same applies kwa destiny child...Beyonce alivyoona kundi limefubaa akajiweka kwa Jay Z pale anaemiliki studio za Def jam na msanii bilionea hadi Leo anarindima uzuri tu wenzake hata hawajulikani wanaishi kitongoji gani US. Kosa wameshindwa kuchanga karata zao vizuri.Sanaa tuu!amejiongeza mnooo
Saa tano ila BBC na CNN wako live toka jana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuko wengi kumbe nimeenda kugongea kwa mpangaji hapaa!hivi inaanza saa ngapi?
Daah!sasa huyu nahisi hana hakuna channel ingine inayoonesha?!!E wataonyesha kuanzia saa tano
Ni muigizaji wa KimarekaniIla
nasikia huyu mwanae ana hela pia hata kabla ya kua na uhusiano na Prince