Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikikitka leoBora tubakie bongo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan watu wamelia na kuhuzunika 96 wamesahau wewe unalia leo
viongozi wa mataifa " yoyote Yale wasahau kuhusu " "pepo " labda kama Mungu " ni Mjomba wao " najua wewe nalendwa huwa unafuatilia siasa za ndani na zakimataifa ..na wajua vyema michezo michafu inayofanywa na Hawa watu " mpaka kufikia hatua ya kumwaga damu za mataifa ya watu " mfano mdogo ni huu mpango wajuzi walioutumia uingereza majuzi kumpa sumu yule jasusi wa urusi na mwanae "" kisha wakawasingizia Russia...ili wawavurugie mpango wao wakuandaa kombe la dunia ...Hawa watu (viongozi)sio watu Wazuri kabisaJamani mi mpaka nalia mweeeee yaan mtu akaomba talaka akaondoka,kuanza maisha yake hawakutaka kabisa awepo dunia hiii na hiyo yote mipango ya Elizabeth kibibi hiko kitaenda motoni
Wakenya wana kihereheree[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakenya sio kabisa
ha hahaa hatari snaHaya mambo ya Ufalme yangekufa tu,
Mijitu inakula tu hela za nchi bure bure haifanyi kazi yoyote
hahaaa " kabibi kama kachawi "Hakuna lolote kibibi kile ni snitch ile mbaya.....Mimi naifuatilia ile familia utafikiri nalipwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi umeona speech aliyotoa kipindi Di kafa?..full kujiliza na masikitiko mengi but behind the scene hata maiti alikuwa amekataa isifatwe Paris na koo ya kifalme mpaka pale Charles alivyomvimbia!....ile speech yenyewe kuitoa ni baada ya kuambiwa na mkusanyiko uliokusanyika Buckingham palace nje kuwa watailipua hiyo kasri why Elizabeth yuko kimya!
Kabibi kanafiki sana kale ....mi nakwambia Meghan ajiandae na ile familia si mchezo!
Wakenya wana kihereheree
Nipo nawaza yangu jamani sijui ndio nami harusi yangu itakuwa ya wilayani tu hata mikoani haifikii bahati hiziii
ha hahaaahuyu kibaka atakuwa malkia alichepuka na wasira au raila si kwa ukora huo
Yaan jamani tutaenda kupiga picha plae round about ya samaki au rock beach habari kwishaa jamaniYa kwako wewe tangaza tu mtapigia picha wapi kama ni pale kamanga au pale bustan ya kemondo ntakuja kukupiga picha na kuleta humu naunganisha na za zari nione nani zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28] [emoji23] [emoji24]Labda kwa sababu kaoa mrembo mwenye mama muafrika,washukuru tu je angedondokea kwa blackchanya si pasingekalika
Yaan jamani tutaenda kupiga picha plae round about ya samaki au rock beach habari kwishaa jamani
Sasa utaniringanishaje wakati zari hajawah hata funga ndoa ,Numbi niwacheee
Unafurahisha sana lakini! [emoji2]Yaan nami nimo tu nataka kupiga umbea wa kishua nimechoka na mama Diamond
Weee naomba usinilinganishe na mama yangu mkubwaa mpe heshima yake tafadhaliKeshafunga na ivan imetosha ntawaweka sawa na kuweka poll nani zaidi
Hata mi nataka wamruke, hiyo inamuuma sana Camilla ila kwa Charles hana hata habaree na hata hatakii!
Hakp ka camilla sikajui lakin natamani nikanase vibaoooCamilla ana moyo sana lakini. Ndo kwanza yuko mstari wa mbele, mama mkwe wa Meghan! 🙂
Weee naomba usinilinganishe na mama yangu mkubwaa mpe heshima yake tafadhali
Tuwe busy leo na meghan
naiwe hivyo "" kweli " mkuu"I hope not jamani!, Royal family naona wamemkubali vizuri. Mpaka baba mkwe wake kum walk down the aisle..