Nilisoma mahali kuwa Diana alitoka kwenye aristocrast family na katika historia babuvyake alimsaidia King katika vita in medieval era. Kujua hilo aliapa hata piga magoti kwa royal family.Sad!, they mis treated her when she was alive, sasa mpaka kifo?
Halafu ingawa alitoka kwenye royal family pia but she was so different from them kitabia.
Na kutoka na Dodi Fayed I think she was just looking for love, ambayo hakuipata from the royal family.
She sure met her Prince.
Hii imenikumbusha zile Fairy Tale stories, which has come to life. [emoji3]
Iko kwenye damu kuna babu yake mmoja aliacha ufalme ili akamuoe mtalaka wa ki marekani.Haya mambo ya "kitu roho inapenda" yanatumika vibaya. Given his position as a member of the Royal Family ni lazima vitu vingine ujidhibiti mwenyewe. Aombe darasa kwa King Mswati akafundwe aina ya vitu wafalme wanapaswa kuoa.
huyu kibaka atakuwa malkia alichepuka na wasira au raila si kwa ukora huo
Msela huyu raia wanampenda hakawii kwenda kupata lunch Mc Donald au kwenda kupiga pint pub.Jamani!, Raila tena! [emoji28]
Yuko tofauti tu sana na wanafamilia wengine.
Nakumbuka kuna siku alivaa M jacket akaenda nao kiwanja halafu ulikuwa na li sign kubwa la (NAZI) mkononi.
Ikawa shughuli Buckingham Palace kuanza kutoa statement ya kujieleza.
Harry kizaazaa, labda huyu dada atamtuliza..
Nilisoma mahali kuwa Diana akitoka kwenye aristocrast family na katika historia babuvyake alimsaidia King katika vita in medieval era. Kujua hilo aliapa hata piga magoti kwa royal family.
Hiki kiburi ndiyo kilisababisha matatizo makubwa.
Kusema ukweli alikuwa mama bora, aliwafundisha watoto wake kuwa wana bahati kuzaliwa kwenye royal family, aliwapeleka kuwaona home less na aliwaambia kuna wanaoishi maisha haya.Oh!, no wonder alikuwa anajichanganya sana na wa kawaida.
mbona kuna damu nyeusi kwenye huo ukoo miaka mingi tu. Huyo harry hajafanya jambo geni kwenye kuoa mwanamke mweusi.Ni jambo la kheri kwa Harry kuoa sasa maana amekaa na kuwa na vibinti vingi bila kuonyesha dalili ya kutaka kuoa.
Pili, Meghan ni chotara na hiyo ni dalili ya ukoo wa kifalme wa Uingereza kukubali damu ya mtu mweusi kuingia katika koo hiyo hapo ni kuonyesha kwamba huko baadae kutakuwa na watoto weusi wa kifalme.
Kuna wazungu hawajapenda sana hii kitu na wamejiandaa kujihami kwa maneno mengi.
Lakini hii ndiyo dunia tunabanana hapahapa.
Hongera Harry na Markle.
Unamaanisha mama yake queen mother au mama yake Queen Anna ambae ni mama wa King George?mbona kuna damu nyeusi kwenye huo ukoo miaka mingi tu. Huyo harry hajafanya jambo geni kwenye kuoa mwanamke mweusi.
bibi yake na malkia elizabeth alikuwa mweusi (charlotte huyu ni bibi yake malkia elizabeth ambaye mama yake alikuwa mweusi toka ureno).
mnaweza sangaa pale mtoto wa meghan na mwanamfalme akatoka mweusi tii hahahahahhahahah
The boy lives his mother's values..princess Diana..mama yake hakuwa na mipaka ya kibinadamu.alifahamika kama the queen of people's hearts.View attachment 639487View attachment 639488View attachment 639489View attachment 639490View attachment 639491View attachment 639492View attachment 639493View attachment 639494View attachment 639495
Diana she was really ,unique and different !!!.
Basi tu ndomaana walimwondosha.
Absolutely true !!! Naitabak kua ivo siku zote.Kwa kweli Vladimir..
Unaona jinsi alivyopenda kutumia muda wake na watu wasojiweza.
Na ingawa William ndo anaonekana kufanana zaidi na mama yake kwa sura, lakini inaonekana huyu chautundu ndio yuko kama mama yake, in the heart.
Hahahah nadhani baadhi yetu tumestahili kabisa kuzaliwa Bongo.Mkuu hata billgates picha yake akiwa na mkewe ilivyoonekana watu wakasema inakuwaje wewe baba na hela zako zote unaoa mwanamke mmoja tu na mbaya zaidi hana hata chura.. sijui wafanye nini wabongo mridhike
Kusema ukweli alikuwa mama bora, aliwafundisha watoto wake kuwa wana bahati kuzaliwa kwenye royal family, aliwapeleka kuwaona home less na aliwaambia kuna wanaoishi maisha haya.
Aliwapeleka hata Mc Donald kuonyesha si kila siku chakula kina kuwa saved na butler.
Duh! Usiniambie; that's even worse! Wafalme na ma-Prince wanaoa bikra huyu kaamua kwenda kuzoa li-mtalaka la kimarekani kabisa! Ha ha ha!
Pumbavu sana huyu Mkuu. Aende kwa King Mswati akapate darsa namna na aina ya vitu wafalme wanavyooa na sio kwenda kujizolea hovyo huko beach simply mwanamke "amekukalia vibaya" ukadhani umepata mke. Hamna ndoa hapo; nategemea talaka muda sio mrefu ujao -tuombe uzima.
Bora ya hao kuliko sisi tunaokimbiza mwenge.Haya mambo ya Ufalme yangekufa tu,
Mijitu inakula tu hela za nchi bure bure haifanyi kazi yoyote
Kuna mengi mkuu,She was super nice!
Sasa huyu Charles nae jamani ndo nini kwenda kwa Camilla wakati Pricenss Di was just perfect and beautiful soul!!!
Kuna mengi mkuu,
Camilla alikwenda kusoma France akiwa kule boy friend wake alimbikiri princess Anna. Camila alipopata habari aliapa lazima ambikiri Charles.
Diana aliolewa akiwa na miaka 18, baba yake alimuasa kuwa nafasi uliyoipata ni ya heshima kubwa kwa taifa. Lakini yeye alifikiria maisha ya happily ever after.
Wazazi wa Diana waliachana watoto wakiwa wadogo, mama aliolewa tena Scotland, kukiwa bila mama ili changia.