Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Majesty ni mnafiki wala hajafurahi kuona mjukuu Harry anamuoa huyo black afuu commoner basi tuu afanyeje kaishajizeekea na ana skendo ya kumuua Diana....huyo Meghan kama mbele mbele hajapewa sumu sijui!

Hahaaa... Watu mshaanza conspiracy’s theory! Hao watu wamependana, na penzi halichagui! Pamoja na hayo, the girl is smart! Hapewi mtu sumu hapo’ [emoji1]
 
Ama kweli alimpania!
That was terrible lakini, he didn't even care to have an affair wakati he's the next in line?!
Afadhali hata angekuwa hajaoa..
Camila alimbikiri Charles long time ago, hakuweza kumuoa kwanza alikuwa m-Catholic pia hakuwa bikra kwa wakati ule heir to the thrown lazima aoe bikra.

Camila aliolewa na major Parker Bowels lakini moyo wake ulikuwa bado kwa Charles.

Diana alistuka kuwa Camila alikuwa na control ya ajabu over Charles, anaweza kumwambia njoo na akaacha kila analolifanya skaenda.
 
Iko kwenye damu kuna babu yake mmoja aliacha ufalme ili akamuoe mtalaka wa ki marekani.

Ingekuwa ni yule kaka yake asingeruhusiwa, Kate mwenyewe lakini hakuwa bikra kuna mjanja alisha wahi.
Ndio hapo napochoka. Akiwa kama mfalme watu wote ni wake; anashindwaje kujitwalia vilivyo vizuri akala kilicho chema badala ya kuokota rejects? King Mswati kumbe yuko njema sana yule jamaa.
 
Ndio hapo napochoka. Akiwa kama mfalme watu wote ni wake; anashindwaje kujitwalia vilivyo vizuri akala kilicho chema badala ya kuokota rejects? King Mswati kumbe yuko njema sana yule jamaa.
Baada ya kufahamu sababu ya kifo cha mama yake, dogo aliwaambia royal family na ufalme hautaki, walimbeleza sana. Wangemkatalia kumuoa Kate angewaambia wakae na ufalme wao.
 


Yaani naona kama Diana was right alipoomba Charles awe passed U King apewe tu William...lol

Khaa!, sio kwa haya Aseeh..
 
Kipindi anatafuta mchumba,hakuwaona wanawake wenye asiri ya africa,?au hata wenye kutoka Arabia,Asia?
Hizi ni marriage of convinience,uwezi kukurupuka,ukajichukuria mchumba tu,kwa hapo,UK,lazima awe Angro Saxon,mzungu mweupe,
La sivyo,wasiojurikana wa huko UK,MI5,MI6,Scotland yard,GCHQ,na binamu yao CIA,watakuondoa duniani,ili kulinda damu ya kifalme isichafuliwe,na race zingine,
Utatulizwa,kama yule jamaa wa ki Arab aliyekuwa ana date na princess Diana.
 
Mama yake King George ni Queen Anna labda mama yake ndiye Charlotte
huyo huyo charlotte itakuwa nimechanganya.


halafu hii familia ina mambo mengi sana unajua david cameron ni from royal family babu yake sijui wa ngapi alikuwa bao la nje la mfalme
 
huyo huyo charlotte itakuwa nimechanganya.


halafu hii familia ina mambo mengi sana unajua david cameron ni from royal family babu yake sijui wa ngapi alikuwa bao la nje la mfalme
Mpaka uwe prime minister ni lazima upate approval ya queen na mara nyingi conservative ni aristocracy wanajuana.

Ingawa Tony Blair alitoka Labour lakini queen alimpenda kwakuwa the man was charismatic and smart.
 
Hivi hao mnaowajadili hapa nao watakuwa wanawajadili huko kwao?

Naona raia mnashuka nondo zinazo wahusu wao kiasi kwamba pengine wao hawajijui kama ndiyo walivyo

Tanzania ilitawaliwa na wazungu hadi leo hii bado imewatawala fikra zao...
 
Most likely! Mama yake alivyokuwa mrembo na smart huyu anatia aibu. Katika wanawake wote wa Kiingereza amekosa kabisa mke hadi aende Marekani tena demu kamzidi umri? Huyu kweli ngada inamhusu.
Huyo actress inasemekana ni mwanausalama na ataingia kwenye hio Royal family kwa Kazi maalumu, US kweli Noma wanapandikiza mpaka sehemu hatarishi
 
Hahahahahha mbona Suleiman nae alikuwa mweusi tii!! Hakuna la ajabu walioana weusi!! Hakuna mbora baina ya mweusi na mweupe ispokuwa yule mwenye nadhari juu ya matendo yake na mwenye kuisha kwa adabu ya utamaduni halisi wa dunia kwa maumbile yake asilia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…