Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Yaani sijui kwa nini watu kwenye ndoa waki achana wanawake ndio hulalamika, ila wanaume kimya na unaweza kuta hawana kosa hata kidogo ila wameamua kuya hifadhi.
Wapo wanawake ndoa ikivunjika wanapiga kimya wanaume ndo wanalalamika.

Kisaikolojia mlalamishi ni mawili aidha anajitetea ili asilaumiwe ila anajua kosa lake au alikuwa akimkosea mwenzake kwa makusudi bila kujali sasa mwenzake kaamua kuchukua hatua yeye anapaniki maana hakujiandaa kuachwa.
 
Pambana na wanaojitambua
 
Mi nanayo namba ake....hiyo laki naipataje?
 
Unamaanisha?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nanayo namba ake....hiyo laki naipataje?
Vile nitakavyoipata mm hiyo number ndivyo na ww utaipata hiyo laki. Mm ndo nimeahidi hiyo laki, huna haja ya kuwa na wasiwasi maana hiyo number km unayo ipo tu kwenye simu lkn haikuingizii chochote ila Leo itakupatia laki. Njoo pm km kweli unayo!
 
Kilanga tu. Unakuta huo anaita ukatili ni mume wake kumind kila akimkuta na wanaume wamekaa lounge wanapiga story na yeye kamuacha mumewe home pekee yake.
Sure mkuu, huo ukatili wanaosema wanafanyiwa sjui ukoje, I wish wawe wanauelezea sio kusema tu "ukatili ".
 
Ujue mimi mzee wangu kwenye familia ni mkubwa mara nyingi huletewaga haya matatizo ya kifamilia au hata ya mtaani. Unakuta kuna binti ana mlalamikia mumewe wee, mzee huwaga anamwacha na kumwambia aje na mumewe sasa mwanaume akianza kusimulia, yaani unaona kabisa mwanamke ana kosa na yy mwisho wa siku ana kubali.

Yaani basi sometimes wanaume tuna amua kuya puuzia tu.
 
Kipindi anamuoa nilishangaa sana Flavian sio mwanamke wa kuoa, ni wa kupita nae tu Ila kumweka ndani nilistaajabu sana
 
Hakika kabisaa.
 
Pichaaa zaidiii tunaombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…