Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Huna IQ ya kunifunda. Jiheshimu
Maana reasoning yako wewe mwenyewe tu haikutoshi. Wenye akili timamu hawatoi ushauri kwa lugha zisizo na staha.
Tena ni aibu kukurupuka na maneno kibao bila kuchambua content.
Sitokujibu and am ignoring your contents.
Naona huku ndo kutokujibu yaani umekaa kimyaaa?

anyway nisamehe kwa lugha ila content baki nayo maisha yako yoote
 
Bora ameamua kuweka wazi hv sasa, ila kulikuwa na stori ya huyo kijana ikapelekea waachane.
 

I am not well versed with flavy story.

But judging from your analysis, huenda you kinda bias on your conclusion referring "Massawe alioa mke asiyewezana".

Kama Massawe alimkubali Flavy as a beauty queen to the extent of supporting her, maana yake tangu mwanzo jamaa alimpenda Flavy jinsi alivyo, alikuwa tayari kukabiliana na athari za kumpenda jinsi alivyo na pia alikuwa tayari kuwa pale kwa ajili ya Flavy.

Objectively speaking its illogical kuhitimisha kilichotokea huenda ni matokeo ya Massawe kutokubaliana na alichokubaliana nacho tangu mwanzo.

Vilevile kama Flavy hakuwa na pingamizi la kuwa anavyotaka, why would would she depart ili kuwa anavyotaka?

Kuna mawili, huenda Flavy amekuwa akitoa ushuhuda usio wa kweli au Mkuu kuna hitimisho lingine unalijua ila umetuficha makusudi.
 

I was not blaming anyone ila kuonesha hii issue kwa angle nyingine

Watu wanachukulia career ya Flavy kama ndio sababu bila hata kujua sababu husika. Hii ni sawa na kusema massawe hakuwa akijua anajiingiza kwenye nini from the start which is impossible

wengine wameenda mbali kuona kama flavy alitakiwa kuitupa career yake ili awe home maker which i don't consider as being fair to her, ni sawa na kutaka mtu aache PHD na career yake ili awe good wife. That's not fair
 

"Watu wanachukulia career ya Flavy kama ndio sababu bila hata kujua sababu husika"

Mkuu huku ni kutaka Watz wasiwe watz which is against your values 🤣...

Ni jadi yetu kutaka kudadavua mambo kwa uhakika wote bila kutaka kujua sabb husika ya jambo.

I guess it's not fair either kuonesha concern ya sisi kutotaka kujua sabb husika.
 
Una kumbuka ni mwaka gani ameanza ametoka shinyanya na kuanza mambo ya models maana naona watu wansmwita binti wakati ka umri kametia nanga tangu nianze kumsikia sio leo
 
huyu demu anakoboana hivyo ni ngumu kukaa kwenye ndoa na mwanaume, siku hizi wana genge lao wanafanyaga house party weekend humo ndani wanakoboana hatari pia wananafndisha mabinti wadogo kukoboana kwa gia ya kujifanya mafeminist
 
Wachaga wana penda sana kupata watoto
Na wanamitindo hawataki kuzaa eti watazeeka au mwonekano wao utabadilika ama unakuta mwili wameshaufanyia upasuaji mbalimbali wa plastic ili kulazimisha muonekano hayo ma surgery yanaweza kuathiri mfumo wa uzazi
 
Hahahahahahhah yani uchumba miaka 6 ndoa week 2? 😂😇😅

Ndio maana huwa nasisitiza probation ni muhimu aisee! Yale mambo ya kukutania Karambezi na kulalana hotelini weekend halafu kila mtu anaendelea na maisha yake unafiki ni mwingi sana.

Kaeni ndani pamoja hata miezi 3 tu mnalala na kuamka muone kama mtawezana kabla hata hamjatambulishana makwenu😅
 
Mshamba huyo kashazingua anatafta wafuasi wenzie 😂
 
Tatizo wachaga wengi wa huko mambele huwa machoko! Unakuta jamaa ana hela ila anapumuliwa kisogoni na wajuba au anakuwa mende😅!

Mke akijua lazma mtemane tu..
 
Katika kila mahusiano yanapovunjika mwanaume ndio huwa anatupiwa lawama aidha malaya au bahili au mnyanyasaji😅 ila mwanamke yeye always ata play innocent tu.

Huenda hata alifumaniwa au alikuwa jeuri hilo hawezi kulisema kamwe.Atatengeneza mazingira aonekane yeye ndio alifanyiwa ubaya. 😂😂😂 Hao ndio wanawake na wanaume tulivyo maboya una buy cheap lies unajiingiza humo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…