Mwanamke agoma kufua kitambaa cha mkononi cha mmewe

nimeishi USA 3 yrs kitambaa kama kinatumika mara 1 tu unatupa. kipindi hiki cha covid cc tzee bado ni masikini sana.
 
nimeishi USA 3 yrs kitambaa kama kinatumika mara 1 tu unatupa. kipindi hiki cha covid cc tzee bado ni masikini sana.
usilete mazingira ya marekani tanzania ya viwanda
 
Kisa ni wa kufanana nae ndio umpe kitambaa kina makamasi mtoto wa mwenzako afue mauchafu ya pua?!

Hapana hiyo haipo sawa.
 
Kisa ni wa kufanana nae ndio umpe kitambaa kina makamasi mtoto wa mwenzako afue mauchafu ya pua?!

Hapana hiyo haipo sawa.
ukuuuu acha kuleta ustarabu kwenye mapenzi
 
Acha kukompliketi kiivo,, mwanaume kufua leso tu ndio unaleta ubeberu ivo!!
 
Na nyie tupumzishe bwana afue leso yake mambo ya mafua na ya badae yanahusiana vipi binafsi nna kinyaa ila undernormal circumstances nafanya mfano kama mgonjwa ntakusaidia ila ukiwa mzima hapana
Kuna siku tuko mahala rafiki yangu aliumwa akaanza kutapika nami kuona anatapika nkaanza kutapika ila nilijikaza hivohivo nkamsaidia
 
mkuuuu kwani mwanamke akimfulia shida iko wapi mbona mimi sioni shida
Mimi binafsi sipendi mtu anifulie kitambaa changu chenye mafua. Unawezaje kuwa comfortable mtu akufulie mafua yako? Ihali unaweza kujifulia mwenyewe?
Halafu eti unalalamika loh
 
Mimi binafsi sipendi mtu anifulie kitambaa changu chenye mafua. Unawezaje kuwa comfortable mtu akufulie mafua yako? Ihali unaweza kujifulia mwenyewe?
Halafu eti unalalamika loh
hahahaha mkuuu hamjui mapenzi nyie mpenzi wako ni zaidi ya rafiki yako
 
Huyo mwanaume anayetaka kufuliwa hadi kitambaa cha kamasi nae amezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…