Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeishi USA 3 yrs kitambaa kama kinatumika mara 1 tu unatupa. kipindi hiki cha covid cc tzee bado ni masikini sana.Habari ndugu zangu,
Rafiki yangu kaja kuniomba ushauri ameenda kumtembelea mchumba wake jijini Dar es salaam .
Jamaa angu kafika kaugua mafua makali akawa anamekea kitambaa chake cha mkononi kamasi hali ambayo mchumba wake alimtamkia hatoweza kukifua hicho kitambaa atafua mwenyewe jamaa alimueleza sisi ni wapenzi unashindwaje kufua kitambaa changu cha mafua na unajua sisi tutaishi mda mrefu je siku mwenzio mtu kati yetu akijinyea kwa sababu ya ugonjwa itakuaje kitambaa cha mafua tu kinakutoa imani mwanamke alimjibu am sory bby ila sintoweza kukifua.
Wakuuu naombeni mnishauri nimshauri jamaa yangu kama huyu anastahili kuwa mke asante
Kisa ni wa kufanana nae ndio umpe kitambaa kina makamasi mtoto wa mwenzako afue mauchafu ya pua?!Kila binadamu ana mapungufu yake
Hata wewe kuna moja ambalo mke wako akionekana anakuvumilia walimwengu watamshangaa hasa mimi wifi mtu.
Kila mmoja anapata wa kufanana nae, huyo aliyeleta uzi hajapata wa kufanana nae, akipata wa kufanana nae atafua na wala haitaleta shida.
Na wewe utapata wa kufanana nae (ambaye itabidi hadi umfulie)
Ndivyo ilivyo, Mungu anatuletea yule ambaye mimi nitakamilisha mapungufu yake na yeye atakamilisha mapungufu yangu.
Kinyume na hapo, ndio kunakuwa na maswali yasiyoisha kwa pande zote mbili, migogoro isiyoisha, lakini pia kila mmoja atakuwa anamuangalia mwenzie kwa jicho la tofauti.
Kama huoni shida si umfulie wewe rafiki yako,?? Au...?mkuuu mimi binafsi sioni shida ata kidogo
Mimi binafsi sipendi mtu anifulie kitambaa changu chenye mafua. Unawezaje kuwa comfortable mtu akufulie mafua yako? Ihali unaweza kujifulia mwenyewe?mkuuuu kwani mwanamke akimfulia shida iko wapi mbona mimi sioni shida
hahahaha mkuuu hamjui mapenzi nyie mpenzi wako ni zaidi ya rafiki yakoMimi binafsi sipendi mtu anifulie kitambaa changu chenye mafua. Unawezaje kuwa comfortable mtu akufulie mafua yako? Ihali unaweza kujifulia mwenyewe?
Halafu eti unalalamika loh