Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1681501858279.png
1681501883591.png

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 leo, Aprili 14 saa 7:45 mchana amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya Boti ya MV Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam.

Mwanamke huyo amejifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa Sealink na mtoto huyo amezaliwa na uzito wa kilogramu 2.5 na kupewa jina la Kilimanjaro V.

Akizungumza na Azam Online, mume wa mwanamke huyo, Isaka Musa amesema kwasasa mama na kichanga chake wanaendelea vizuri na wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Temeke kwaajili ya uchunguzi zaidi.
 
View attachment 2587972View attachment 2587973

Yani kisa cha kumuita mtoto Kilimanjaro V eeeh.
Hongera kwao.
 
Inatakiwa huyo mtoto akifika umri wa kusafiri peke yake ni kupanda bure hivyo vyombo maisha yake yote
 
Back
Top Bottom