Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

Nimpongeze mmiliki wa vyombo hivi vya usafiri kwa kuweka mtabibu ndani ya vyombo vyao, hili ni la mfano hata kwa vyombo vingine, imagine, haya yangetokea katika usafiri wa mabasi yetu, yasiyo hata na kisanduku cha huduma ya kwanza ingekuwaje?, lakini pia niwashukuru akina mama kwani mara nyingi linapotokea suala la aina hii popote hulitatua kwa haraka.
Safi sana

Ova
 
Kwenye meli au hizo boti maafisa wote kuanzia Captain,Second Officer na Third officer walisoma Kozi ya Advanced Medical Care ambayo unafundishwa na madaktari namna ya kumtibu mgonjwa,kushona majeraha na mpaka uzalishaji wa njia ya kawaida.

Kwenye meli second officer(ofisa wa pili) yeye ndie ana jukumu la masuala ya afya na tiba melini. Pia kwa emergency ya mgonjwa yoyote melini endapo maofisa watashindwa kumhudumia au kutojua namna ya kukabili tatizo kuna namba zipo za kupiga nchi kavu kwenye hospital kubwa kwa Tanzania ni Muhimbili. Captain atapiga simu hospital atakuwa akisaidiwa msaada wa kitabibu na daktari aliye nchi kavu
 
Kila baharia lazima asome Elementary First Aid, na kila ofisa melini inabidi asome Medical Care.

Kwa nchi za wenzetu medical care ni sawa na wale paramedics
 
Na yeye afate nyayo za harmonize kwenye ile verse atoe jina la konde aweke lake iwe
Zenji boi ko mi namba waan bakhreesa
 
Pongezi kwanza ni kwa serijali ya awamu ya 6 chini ya Samia Suluhu hassan kwa kuweka miundombinu bora inayowezesha huduma zakihospitali kutolewa mahali pppote,pongezi kwa Mzee bakhresa kwa boti nzuri na za kisasa zenye kuweza kutoa huduma,pongezi nyingine kwa mzazi ...(maandalizi ya uteuzi)
 
Back
Top Bottom