Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

Nimpongeze mmiliki wa vyombo hivi vya usafiri kwa kuweka mtabibu ndani ya vyombo vyao, hili ni la mfano hata kwa vyombo vingine, imagine, haya yangetokea katika usafiri wa mabasi yetu, yasiyo hata na kisanduku cha huduma ya kwanza ingekuwaje?, lakini pia niwashukuru akina mama kwani mara nyingi linapotokea suala la aina hii popote hulitatua kwa haraka.
 
Back
Top Bottom