Yani kisa cha kumuita mtoto Kilimanjaro V eeeh.View attachment 2587972View attachment 2587973
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 leo, Aprili 14 saa 7:45 mchana amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya Boti ya MV Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam.
Mwanamke huyo amejifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa Sealink na mtoto huyo amezaliwa na uzito wa kilogramu 2.5 na kupewa jina la Kilimanjaro V.
Akizungumza na Azam Online, mume wa mwanamke huyo, Isaka Musa amesema kwasasa mama na kichanga chake wanaendelea vizuri na wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Temeke kwaajili ya uchunguzi zaidi.
Inatakiwa huyo mtoto akifika umri wa kusafiri peke yake ni kupanda bure hivyo vyombo maisha yake yoteView attachment 2587972View attachment 2587973
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 leo, Aprili 14 saa 7:45 mchana amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya Boti ya MV Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam.
Mwanamke huyo amejifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa Sealink na mtoto huyo amezaliwa na uzito wa kilogramu 2.5 na kupewa jina la Kilimanjaro V.
Akizungumza na Azam Online, mume wa mwanamke huyo, Isaka Musa amesema kwasasa mama na kichanga chake wanaendelea vizuri na wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Temeke kwaajili ya uchunguzi zaidi.
Udwanzi wamempa mtoto lijina likubwa mnoYani kisa cha kumuita mtoto Kilimanjaro V eeeh.
Hongera kwao.
Mkuu achana na mjani wa Arusha😂Uraia wa mtoto utakua upi?
Raia bahari
muunguja-mbaraUraia wa mtoto utakua upi?
🤣🤣🤣 ...ushukuru hujazaliwa kwenye mwendokas....ungeitwa Mwendokasi girl😘😘😘😘Yani kisa cha kumuita mtoto Kilimanjaro V eeeh.
Hongera kwao.
Wabongo sasa,watamwita KILIIII!🤒hongera kwa doctor na mzazi, ila hilo jina mmm😶🙌