Uchaguzi 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

Uchaguzi 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

Naona anatafuta uongozi kama yule mvaa tai yenye fulagi ya tz[emoji851][emoji851][emoji851] ATAUPATA TU,NI SWALA LA MDA...Uzuri akishakuona namna unavyompigania ahaaaa mbona utakula shavu mapema?! ENDELEA KUTIA BIDII MZEE. ACHA SISI TUENDELEE KUVUNA MAHINDI HUKU ISONGOLE ILEJE MKOA WA SONGWE.
Hivi sijui nikujibu, au nikupuuze? Kazana tu mkuu, kuna mkoa mpya unataka kuanzishwa unaweza kula shavu ong'wise!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kwa imani yako wasomi wote ndani ya chadema lazma wawe wabunge wa viti maalum?

Ben Saanane aliwahi kusema "njaa Ni mbaya sana inaua wachawi mpaka waganga wa kienyeji" naona wewe njaa inakusumbua kama jina lako "mayala"

stay safe corona is real and it kills
 
Chadema hawana shida ya kuizuia demekrasia itamalaki ndani ya chama chetu.

Kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa chama uliomalizika uchaguzi wa chama na kupata Safi yenye sura ya kitaifa na uchaguzi wa uwazi Kama ambavyo msajili wa vyama alivyosema siku Ile.

Huyu katangaza Nia, na sio Vita hii Ni hatua kubwa kwa mwanamke hususani chadema kutamka kugombea uraisi.
Alaianza mbowe 2005, Dr. Slaa 2010 na Kisha Lowassa 2015.

Acha tuone na wanawake wakijiamini hadharani Kama huyu Dr. Mayrose. Mbona CCM iliwakaribisha wanawake uani kabisa mpaka fainali wakaingia Dr. Asha Rose na yule mama Balozi Amina.

Kwa mahitaji ya kukilinda chama chetu na demekrasia , naaamini Chadema watatangaza tarehe ya kuichukua fomu Mara baada ya Tangazo la tume ya Taifa uchaguzi kupuliza kipyenga.
Namaliza kwa kusema hiviiii, "Atavuna alichokipanda Kama mwanachama"
Na pia asisahau kuwa atakula alipopeleka mboga. Misemo ya kawaida Sana Ila hapa ndio inaonekana hadharani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali huyo ni kitendawili, wapiga kura walio wengi ni wanawake, na wanawake wa kitanzania wanakawaida ya kuwachukia au kuwaonea wivu wanawake wenzao.

Je miezi mitano inatosha akina Mama kubadirisha msimamo wa miaka 60?
 
Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!
Huyu mama/dada anaweza akawa KWELI ni mzuri sana kuja kuwa mgombea uraisi. Kwangu mimi bado ni mapema kidogo kufahamu.
Lakini kwa lugha kama hiyo uliyotumia hapo juu, sidhani kama una nia ya kweli kumjenga huyo mtangaza nia.

Wewe P,waonekana dhahiri uko kichaka kimoja na akina Suzana, Ndugai.......na wenye dhamira ovu wengine; ambao baada ya kukaukiwa hoja za msingi, wamekalia shutuma ambazo mahala pa kuzipeleka pamoja na vielelezo walivyonavyo, ilikuwa ni kwenye vyombo vya dola ili hatua za kisheria zichukuliwe, wao wanashindana kubwabwaja tu.

Kama huyo mtangaza nia nae NDIO kaamua kukutegemea wewe, basi atakuwa kaanza VIBAYA kwani amepotea njia. AMEN
 
Back
Top Bottom