Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi sijui nikujibu, au nikupuuze? Kazana tu mkuu, kuna mkoa mpya unataka kuanzishwa unaweza kula shavu ong'wise!
sio mdada ni mbibi huyo mkuu!huyu mdada
Hujafa hujaumbika mkuuChadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?
Huyu mama/dada anaweza akawa KWELI ni mzuri sana kuja kuwa mgombea uraisi. Kwangu mimi bado ni mapema kidogo kufahamu.Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!
Kaandika kinafiki bila hata aibu