SI KWELI Mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza lazima atoke damu

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Damu lazima, sema maandalizi kupunguza wingi wa damu, ila vitone haviwezi kukosekana kama ni bikira kweli.

sema sasa siku hizi kuanzia Gen y (aka Millennials), kupata bikira ni kazi kwa sababu ya self-service aka masturbation. vitoto via sahv kuanza mapema sana huo mchezo.

sasa hi Gen z na Alpha, (kuanzia 1997- 2025), ndo wasitegeme kabisa kupata bikira.... hahahahahahha. au maana ya bikira na ngono ibadilike .
 
Hii unayoita kizinda ni kitu lazima kiwepo na damu ni lazima japo kidogo.Mwanamke mwenyewe au kungwi wanahangaika kuhakisha damu inatoka japo kidogo kama saini ya ubikra na kuanza vyema kwa maisha ya ndoa.
Ikitoka kidogo ndio hizo sababu nyengine.
 
Wanawake bikra wapo, wapo wengine to the age of 35 and 40's , ni uamuzi tu wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…