Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Tabia za mwanamke wake unatujumuisha wanawake wote. Binadamu bwana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemaliza mkuuKama na wao ni wanawake au wasichana jibu ni ndio hapo.
Unataka awe mnafiki kwakua umeongelea damu yake, ikija swala la kusema ukweli tuweke undugu pembeni.
Haijalishi ni Mama au ni Bibi kama ni nyoka ni nyoka tu.
Msema kweli hapewi laana.
Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume
Tuanze na
MAUMBILE
Mwanamke
Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za kuvutia ila kaona ni mbaya kaamua kusuka rasta awe kama mzungu, kapewa kucha kaamua kuweka za kwake ziwe ndefu zaidi kama nsyuka matokeo yake anashindwa kula kwa mkono na kushika vitu baadhi, kapewa umbile zuri kaamua kuongeza kwa kufanya plastic surgery, kapewa rangi nzuri kaamua kwenda kununua uweupe na make up juu avutie kama mzungu, kapewa hips nzuri kaamua aongeze za kwake anazozipenda, kapewa cha kukalia kizuri kaamua aongeze kalio awe anakaa juu juu
Mwanaume
Kapewa maumbile ya siri na muumba wake kaamua kwenda kuongeza anavotaka yeye, kapewa kifua na misuli mizuri kaamua kupaka poda aonekane kama John Cena
UAMINIFU
Mwanamke
Ni mtu ambae anaongozwa na hisia saa yoyote anabadilika ni kama mfano wa upepo haeleweki anavumia upande upi kiufupi sio mwaminifu
Mwanaume
Asilimia kubwa ya wanaume ni waaminifu
MAVAZI
Mwanamke
Asilimia kubwa kwa sasa wanawake ndio wanaongoza kwa kuvaa mavazi ambayo ni ya aibu na hayana mfano wadada wacheza chura, wanapiga picha wakiwa nusu uchi wengine uchi kabisaa
Mwanaume
Asilimia kubwa wanaume wanavaa vuzuri na kiheshima hawapigi picha wakiwa uchi ni mara chache sana kukuta mwanaume kapiga picha akiwa uchi
MTINDO WA MAISHA
Wanawake
Wengi wanafake maisha hawaishi kwenye uhalisia wenyewe anataka amiliki Iphone 13pro na hana hela ya vocha, atataka aonekane anakula vyakula vya bei ghali wakati kwao kipato hakiruhusu
Mwanaume
Wengi wana ishi katika uhalisia
Nimalizie hapo kama utakuwa na wazo lolote la kumtetea mwanamke shusha fact yako na sio kujibu kwa mihemko
Ahsante🙏
Hii n kwa ujumlaTabia za mwanamke wake unatujumuisha wanawake wote. Binadamu bwana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app