Mwanamke akiingia peponi, wanaume wote hatuna dhambi

Kama na wao ni wanawake au wasichana jibu ni ndio hapo.

Unataka awe mnafiki kwakua umeongelea damu yake, ikija swala la kusema ukweli tuweke undugu pembeni.
Haijalishi ni Mama au ni Bibi kama ni nyoka ni nyoka tu.

Msema kweli hapewi laana.
umemaliza mkuu
 

Haya yapo katika asili, Na ndivyo walivyoumbwa, ukiwajulia Na ukaujua utaratibu WA ki Mungu Ni watu wa maana Sana!
 
Kwani funguo za milango ya peponi na motoni anazo nani?
 
Mwanamme hahesabiwi dhambi?!

Tuanze na hapo...

Wote ni vile vile...

Wahuni walioharibika!
 
Mwanamme hahesabiwi dhambi?!

Tuanze na hapo...

Wote ni vile vile...

Wahuni walioharibika!
Nakataa.
Iko hivi mwanaume anahesabiwa dhambi pia ila mzani wa dhambi kwa vyvyote vile mzani wa dhambi utaelemea kwa mwanamke
 
Wanawake watazingua peponi kutokana na udhaifu wao wa kiasili.

Kimsingi mtu huhesabiwa haki na hudaiwa Jambo kulingana na alivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…