Mwanamke akikaa mwaka mzima bila kuduu lazima dishi liyumbe

Huyo huyo kaka [emoji23]
Nani kwani?🤣
Si kweli dishi linayumba
Mapenzi ni hisia matamanio ni sawa na soka au michezo mingine
Wapo wengi wa wanawake walipoteza hisia au matamanio ya hilo tendo.. Ni mindset
Kama Mwanamke hana anachopungukiwa kutokufanya tendo la mapenzi… Wajane wengi wanaishi bila hilo tendo na wako vizuri tu.
Itoshe kusema wakati mwingi hilo tendo ni usumbufu tu
Bujibuji Simba Nyamaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…