Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Wewe ni keyboard warrior, hapa unajifanya mjanja ila huko mtaani wakukungwa wanakuzoom tu[emoji28]
[emoji1787][emoji1787] ukweli nakwambia. Attention inayotakiwa ni ya mtu wako tuu... Hao wengine hazina maana kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787] ukweli nakwambia. Attention inayotakiwa ni ya mtu wako tuu... Hao wengine hazina maana kabisa.
Silialiamini hili mimi jama, mnavyovunja kabati sidhani eti ni ajili ya mtu wako. Tena wanawake hua hamvai nguo ajili yenu, bali ili watu fulani wawaone umevaa nguo fulani. Pengine ukivaa nguo halafu watu fulani wasipokuona roho zinawaumaπŸ˜…
 
Weeeee Mimi huyoooo nivunje kabati Kwa ajili ya watu khaa[emoji1]. Labda kwa ajili ya baba tombombo.

Umeipenda avatar eeh[emoji7]
 
Ahahaaha bro hapo kwenye kutokupenda maneno mengi kama mimi tuu... Mama akianza kulaumu sana huwa natoka tu njee.

Sipendi kabisaa mdada anayeongeaa sana unless nimemprovoke
 
Ila huu uzi unaukweli asilimia 100 [emoji28][emoji28] wanawake tunapenda attention sana tu, yaan umejikwatua vizuri kabisa na ukajianfalia kwenye kioo mara mbilimbili alafu unapita njiani wanaume kama hawakuoni vile.. lazima ukirudi nyumbani ujiulize hivi nilikosea wapi? [emoji28] wadada mtabisha lakini huo ndio uhalisia. Alafu kiukweli sisi wadada hatupendi wanaume wanaotushohokea aiseee...kwanza ukiongea sana tunakuona hamnazo [emoji2957] ila wale wakak ambao ni wa kimya na hawatupi attention ndio tunachanganyikiwa nao kabisa, mleta mada umegusa mulemule[emoji23][emoji23].
 
Bora wewe umesema ukweli

Mimi wananiita mpole na hapo ndipo wanapojiponza
 
Afadhali wewe umesema ukweli, Wanawake wenzio wote wamekataa kua hawapo hivyo wakati it's well known worldwide kua wapo hivyo. That's Hypocrisy.
Wanawake wote duniani wana
utoto ndani yao hata kama atakua na 45yrs deep down bado ana utoto. Na hili pia pisi kali za humu zinakataaπŸ˜…πŸ˜…
Ngoja niwaite waje kukushushua
Alayna Dawlia QueenDeby umukagame whitehorse Kapeace Hellenah Katriel Strawbella Zuhuraz
mawardat sophy27 Donatila
 
Yani wanaume tuna tabu sana, yani na elimu tulizonazo kitaaluma bado tumsoma na mwanamke
 
Napokea taarifa mheshimiwa , hata wengine wasipokubali inatosha uwakilishi wako
 
Upo sahihi kwa ufupi ipo hivi unajua mwanamke yoyote kumpenda mwanaume aliekauzu its obvious haipingiki sababu moja kubwa ni assuarance wanajua mwanaume asie na mambo mengi sio rahisi kuwa na wanawake wengi kumbe ndiyo vice versa so shobo zinakua nyingi, na kwa wale wanaume wenye maneno mengi siku zote wanaonekana ni wahuni pro max
 
Nimesoma tu mpaka hapo uliposema unaacha kumtafuta mpaka akutafute, story yako iba ukakasi unamuachaje mwanamke akitongozwa ndiyo unajifanya mtu wake bado hapo unasema sio mzuri ila mahusiano yatakusumbua sana yani ishu ndogo ume prove huwezi kuzihandle itakuchukua muda sana kufanya vitu kiume aiseh
 
Kushushuana tena πŸ˜€
Ni mtazamo wake hivyo nita uheshimu
But msimamo wangu upo pale pale sibadilishi
 
Hii issue inaweza kuwa kweli na isiwe kweli kwa upande mwingine.

Kuna mwanamke ukimpunguzia attention haangaiki nawewe na kama ni mzuri ndio anakusahau kabisa.

Ila kuna huyu bidada mmoja nilitongozaga akawa ananizungusha zungusha, nikaona nimejaribu vya kutosha ngoja nikae pembeni, kibao kimegeuka yeye ndo ananitafuta namie sina time nae saivi, mara atake nimpelekee zawadi, mara simpigii simu sikuhizi nisipojibu sms zake anamind mie namuambia komaa na mchumba wako ndio wajibu wake huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…