Uzi murua sana huu, hongera sana brother maana kuna mambo mengi nimejifunza.
Ila kuna jambo namimi kidogo nichangie, mimi kiujumla huwa c muongeaji sana huwa najihisi comfotable napokuwa peke yangu kuliko kujichanganya na watu hiyo ni tabia yangu natural na siwez ibadilisha. Na pia huwa sina time na mtu huwa nipo bize na my own business.
Kuna kipindi alitokea manzi mmoja jirani ni mzuri sana pisi kali ya kwenda sasa yule manzi alitokea kushobokewa sana na watu kitaa halafu mimi kama kawaida yangu sikuwa na time nae bac dem akawa anajiuliza sana why mimi simshobokei na salamu simpi bac akawa ananiangalia sana bac siku moja akajiingiza kwenye 18 zangu sikulaza dam nikamtongoza bac yule dem alifurah sana bac akanipenda balaa kila wakat cm na anataka nimsindikize kila pahali bac bwana kwa bahati mbaya namimi nikatokea kumuelewa yule dem nikajikuta nimeacha ile misingi yangu,
Bwanawee sasa yule manzi baada ya kugundua nishanasa bac kibao kikageuka akaanza kunipuuzia, cm apokei wala anitafut mwisho wa siku akanidump na pia akahama mkoa aisee niliumia sana na nlijua ni wapi nimekosea, kwahivyo mtoa mada upo sahihi 98% .
Sasa tatizo lingine linalonisumbua kwasasa ni kwamba nimekuwa bad boy kupitiliza yani nimekuwa kauzu sana kiac ambacho hata kutongoza mwanamke naona kama najishusha kwa upande mwingine naona pia ni tatzo yani nimekuwa serious muda wote kiac ambacho naogopwa na jamii nimkuwa sichek wala kuzungumza sana na watu, kiac ambacho wanawake wa hapa home napokaa wameanza kunijadili why awajawahi niona na mwanamke kokote iwe nyumbani au mtaani, kiukweli napenda kuzichakata hizi mbususu ila kumtongoza mwanamke naona kama najishusha hapo ndio tatzo lilipo ebu nipeni ushaur?