Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

🤣 🤣 what? Why do u like being sad?
I don't like it. But vitu kama hivi ndio hunifanya Sad Skye
Kuna ile thread yako unapost sad quotes. Can u pls smile more for no reason 🤣
Ipi hiyo??
Uso wangu muda wote una furaha ila ndani sasa. I'm house on fire and I wanna keep burning.
 
Wewe hawa wa jf siwezi kuwapata...hawa ukiwagusa tuu kwanza unapigwa mzinga wa laki🤣🤣🤣🤣
Mara uwe na gari sijui degree mie navitoa wapi. Wee hapa wacha tupige story tuu
Sasa huko kuoiga story kwa kuwaambia unawapenda sibunaoba unashusha thamani ya hilo neno "Nakupenda"
 
Mie mbona sijawaambia kuwa nawapenda...nachosema mie ni kwamba wee mzuri nimevutiwa nawe basi....kwenye ulimwengu wangu hamna kupenda bwana kuna kuvutiwa na mrembo
 
I don't like it. But vitu kama hivi ndio hunifanya Sad Skye

Ipi hiyo??
Uso wangu muda wote una furaha ila ndani sasa. I'm house on fire and I wanna keep burning.

Is the message in that song the reason you're on fire? (Nice song btw). See I've loved and lost, a couple of times, that's how I've learnt to love, love is freeing, it doesn't attach, it looks for the interests of others, and no it doesn't make u burn, it actually gives u chills and makes u happy. So lose that attachment you have burning you inside and just let them go... How do u lose an attachment? Should I go on or I'm making noise? 🤣
 
Go on..
I don't know how to lose the one who keep burning my house.
FB_IMG_16538612138425839.jpg
 
Have a dignity and classy bwana Huwezi kuvutiwa na kila siketi inayopita mbele yako mkuu. Wewe sio beberu
Yaani mnajua nyie mna perception ya ajabu sana....mtu kupenda mbususu haimanishi kila mwanamke unavutiwa nae...no its not like that.
Tena as a matter of fact unaweza kuta mie ndio nipo very choosy when come to which mbusus i hit....ila tako muhimu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Go on..
I don't know how to lose the one who keep burning my house. View attachment 2249208
One truth of life, impermanence. Nothing is permanent, the only thing that is constant is change.

* Having that in mind, you have all the rights to mourn the old good times, think of them and smile and cry.

*But they're gone now, now you have to make new memories, that you'll cry about in the future 🤣 .

*See I look at my baby's baby photos and cry at how tiny he was and how he always wanted me,

*now he's out there playing forgetting for a few hours that I exist,

*one day I'll remember these times when he's miles away and he'll definitely have forgotten I exist 😳😳, and I'll cry

*You don't own anything in this life, and you won't leave with anything. Give up the thought that you had rights to something or were entitled to something/someone.

* With each encounter with someone or something, take it as a temporal experience that it is and don't attach yourself to it. Even if you married the love of your life and lived together to the end, they'll one day surely leave you (i.e death)

*Just make sure with every encounter, you don't harm, infact give all the love you have, that way you won't be haunted by the ghost of hate and other wrongs u did to others

*You came alone. You'll leave alone. Even while you live, you're still alone, the company of other people disguises this for a short time. Let go of what u think is yours and be alone in peace! Peace doesn't burn, its cool
 
Huu uzi ni ukweli 100%.
Kuna workshop fulani niliwahi kufanya kazi, sehemu ambayo watu walitembeza vitu mbalimbali kuuza. Kuna manzi moja kama 22yrs alikuwa anauza juisi mida ya mchana kila siku.
Yule manzi alikuwa mzuri wa sura, umbo, sauti, na kila siku alipendeza tofauti, mtu muongeaji na wa kujichanganya na watu. Kwa kuwa pale workshop wafanyakazi wengi tulikuwa wanaume tena bachelors, wanawake walivalia namna ambavyo waliamini watateka attention ya wanaume ili kurahisisha biashara na udangaji.
Ikawa kila yule manzi muuza juisi anapofika masela wanachanganyikiwa balaa, wataanza kumwita kwa jina, kila mmoja anataka kuwa wa kwanza kuhudumiwa juisi, mwingine hata change hadai, kila mtu anataka amsemeshe yaani shobo mwanzo mwisho.

Lakini Mimi nilimuona wa kawaida tu, wala sikuwahi kupata hamu ya kununua juisi yake. Baada ya muda alishtuka watu wote pale workshop walishawahi kununua juisi kwake na kumshobokea isipokuwa Mimi tu(wengine hawakugundua).
Mara siku moja baada ya kuuzia wengine akaja sehemu nilipokuwa;
Yeye: Kaka mambo?
Mimi: Shwari,
Yeye: juisi?
Mimi: Asante.
Ikawa kila siku lazima ajipitishe mbele yangu kunisalimia na kuuliza kama nahitaji juisi lakini tofauti na salamu pamoja na asante ya kukataaa juisi sikuwa na story ya pili na yeye. Kilichomvuruga zaidi mara kibao amewahi kunikuta na wanawake wengine. Ilifika mahali akimaliza kuuza juisi anakaa sehemu ya mbali kidogo ananipiga chabo halafu kama ana mawazo.

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, ukiwaheshimu wanakudharau na ukiwadharau wanakuheshimu. Hata mkeo ukimuona kama celebrity yeye atakuona kama shabiki. Kanuni ni kuwachokonoa self esteem. Bila kubabaishwa na kiwango chake cha uzuri, mchukulie kama vile .......... Then utaona response yake kwako.
Kula 5 mkuu,imepita mulemule nipo.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
One truth of life, impermanence. Nothing is permanent, the only thing that is constant is change.

* Having that in mind, you have all the rights to mourn the old good times, think of them and smile and cry.

*But they're gone now, now you have to make new memories, that you'll cry about in the future 🤣 .

*See I look at my baby's baby photos and cry at how tiny he was and how he always wanted me,

*now he's out there playing forgetting for a few hours that I exist,

*one day I'll remember these times when he's miles away and he'll definitely have forgotten I exist 😳😳, and I'll cry

*You don't own anything in this life, and you won't leave with anything. Give up the thought that you had rights to something or were entitled to something/someone.

* With each encounter with someone or something, take it as a temporal experience that it is and don't attach yourself to it. Even if you married the love of your life and lived together to the end, they'll one day surely leave you (i.e death)

*Just make sure with every encounter, you don't harm, infact give all the love you have, that way you won't be haunted by the ghost of hate and other wrongs u did to others

*You came alone. You'll leave alone. Even while you live, you're still alone, the company of other people disguises this for a short time. Let go of what u think is yours and be alone in peace! Peace doesn't burn, its cool
You nailed it Skye as always 😘
Tatizo Sio kila mtu anaweza kuCope With Emotional Recovery yaani kutoka kwenye Denial kwenda Acceptance kwamba this person ain't belong/mine anymore. Ni ngumu sana hasa upande wangu mimi. Acceptance pekee nayoweza kucope with ni kwamba I adore the Maiden and I can't forget anything about her
 
Time heals...tena una afadhali coz unajua kuhusu process ya kuomboleza.
And why are calling me Skye?
 
Back
Top Bottom