VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Comrade 👏🏽👏🏽.Ngoja na me nitoe my confession.
Nikiwa ndio naanza form one katika shule fulani hivi ya boarding nilikutana na bro fulani nae alikuwa ni mgeni pale shule. Basi room tuliyokuwa tunakaa tulikuwa wageni wote yaanicnew comer.
Katika stories mbili tatu huyu bro alikuwa smart sana nakumbuka aliniambia wanangu katika maisha haya kuwa kauzu usitabirike kabisa kuwa na mambo yako tu.
Basi nikiwa ndio nipo form one hata sketi sijui basi nikaapply hiyo kitu na for sure ilikuwa inaendana na haiba yangu.
Duh basi wanafunzi wa kike nilikuwa sibongi nao kabisa. Hata girlfriend niliodate nao shule nilitongoza mmoja tu hao wengine nilikuta wanakuja kwangu ila sikuwapa kipaumbele hadi leo.
First lover tulikuwa mikondo tofauti alikuwa hajui ya ndani kunihusu kabisa
Nakumbuka nikiwa form two ndio alikuja kujua ya kuwa me ninabonda mitihani kinyama. Alibaki mdomo wazi baada ya tokeo kubandikwa.
Nilimaliza ile shule huku nikijulikana kwa walimu wanne tu nao kijuu juu walikuwa wanaonaga maksi zangu ila muhuni hawamjui.
Advance nilisoma mpk namaliza sijawahi ongea na mtoto yeyote wa kike. (nina sababu zangu na iliniepusha na mengi).
Chuo sikuwa naeleweka mambo yangu kbsa.
By the way nilipanga nitoke na clean sheet kabisa yaani nisidate na mwanamke yeyote kwa miaka yote ya chuo.
Ah nikajikuta kuna mdada wa huko uchagani ninamkula kimasihara. Tulizoeana kiduchu. Kiujumla mimi hall za chuo nilikuww sibadilishi seat ya kukaa. Nilikuwa nakaaga palepale na walikuwa wanaheshimu sana. So huyo mchaga alikuwa anakujaga kukaa na me. Karibia kufunga nikamuambia kesho njoo geto akaja.
Nikamuambia vua nguo akavua. Lala akalala. Nikampanda. Baadae akaja juu. Akakalia. Kanogewa akasema hivi utakuja kunisaliti? Nikachekaaa. Nikamkalia buyu.
Nyie mnasemaga wachaga wabovu kitandani. Sio kwa yule alikuwa anajituma huku me rohoni nacheka.
Mwingine ni hostel mate. Mtoto wa mbeya.
Me na yeye ni salamu tu. Bado siku mbili niondoke nirudi home. Akashangaa namuita getho anipangie nguo. Akanipangia. nikamuambia leo nalala kwako. Sawa akajibu. Wakati ananipangia nguo nashangaa ananiletea singlendi mpya. Nikambikiri usiku ule. Akaanza lalamika ohh nilikuwa nakupenda kitambo ila huna habari oh we handsome (kimoyomoyo nasema handsome wa nyoko).
Nikakaaga kimya hadi leo.
Nikiwa field nilikuwa busy muda wa mapumziko me na earphone .kuna mwanamke fulani hivi alikuwa anatamani kuniingilia lakini sikumruhusu kabisa. Of course nilimkatili kihisia. Siwezi date na kila mtu bhna.
siku ya kuagwa kuna vidada vinataka namba yangu.
Sikutaka kuharibu kazi na heshima angu h kozi nilijiwekea mipaka watu gani nitadate nao maishani. (wake za watu me siwezi hata iweje)
Kamoja kakanitongoza oh kananipenda me sijibu kitu. Kananiuliza maswali mengiiiii me sijibu. Nilivomaliza field kakataka kuja nilikopanga. Hako kakaja. Paao sebuleni kakanikalia.
Kalikuwa kabikra afu kazuri hatari. Niko nako hadi leo. Ni pisi kali kuliko zote nimepata date. Ila hakaishi kunidodosa lakini ugumu nakawekea hadi leo.
Kuna siku kanasema ulivyokuwa pale field nisingekuwa makini rafiki angu angeniwahi.
Moyoni nacheeeka.
Mkesha wa pasaka kuna kadada kako mbele yangu ile wengine wanapiga makofi mixer vigelegele. By the way me nikiwaga church nakuwaga kimya naimbaga kimoyomoyo. Yule mwanamke akshangaa afu akawa anafosi na me nipige makofi na ninese kucheza kama wao. Me hata sereact chochote. Muda wa kutoka hanioni.
Kesho yake Pasaka kaja kukaa nilipokaa. Nikaona hii kero. Nikamfukuza hakatoki. Kuna muda nikakapima. Nikatabasamu kiduchu na kupiga kofi moja. Kakafurahii weee. Nje tunatoka kakawa kanajitambulisha wee kanauliza jina langu. Nikakaambia. Kakasema nitakupataje sasa. Simu ninayo ila nikachukua kijiti nikaandikia namba chini. Nikaondoka. Baadaye kakani txt.
MTOA MADA UKO SAHIHI 100%.
UKIACHANA NA HII KUWA NA PRIVACY inasaidia hata kwa maisha binafsi sana ukiachana na kuvutia wanawake ila hata life la kawaida inasaidia pakubwa.
Sipendagi mtu mwenye maneno mengi mimi.
Mama angu mwenyewe huwa anaongea sana sipendagi kabsa. Ongea kidogo maongezi yaishe.