Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Nakupinga.
Me nguo zangu zote ni black tupu sionag shida kabisa. Hata zikifanana huwa sioni shida na huwa wananionaga wa tofauti awa viumbe

Zinatofautiana design na designers ukiondoa rangi,SS,shati jeusi suruali nyeusi Jana kama Leo. Inawezekana kwa kuamua na kujizoesha kwa tabu.
 
PESA, FWEDHA, HELA, SHILINGI, MAVUMBA, MPUNGA e.tc....
 
Dawlia nataka maoni yako juu ya hili kama nitakua sahihi au la. You'll judge me opinion.

As i pitched that mwanamke anapenda kuona yeye ndio center of attraction ya mwanaume fulani twbia hiyo hupelekea pia mwanamke kutamani kuchukua mamlaka aliyonayo Mwanaume ndio maana utaona mwanamke anavaa suruali,Anajiweka kiume, ananyoa kiume, anatafuta dawa ili kumshika akili mwanaume, anataka haki sawa na mwanaume etc. Hiyo yote ili tu amfanye mwanaume kua submissive na yeye kua Dominant (Kwenye dini ya kiislam ni haram mwanamke kufanya mapenzi akiwa juu ya Mwanaume/Riding coz inamfanya Mwanaume kuongozwa na mwanamke wakati wa kufanya tendo Kisai safuher utanirekebisha hapa)

Cha ajabu sasa ikiwa mwanaume fulani akawa hana Voice of Command kwa mwanamke yaani anamuachia mwanamke kua na sauti kufanya yale ayapendayo mwanamke huyo huyo ataanza kumdaharau Mwanaume wake na kuona si mwanaume kamili, coz wanawake wanataka wanaume magaidi and Dominant to them coz wanajiona salama zaidi kua na mwanaume mkali na mkorofi kuliko kua na mwanaume mpole anayemuachia kufanya yale anayoyapenda.

Sasa Je ni kweli wanawake wana tendency hiyo ya kupenda Uanaume au ni sipo sahihi??
Lakini pia kwanini mkiachiwa hiyo nafasi na wanaume mnawaona si wanaume kamili tena! Mwataka nini hasa ninyi viumbe?? Yaani hamueleweki
Hilo siyo haramu kisichotakiwa ni kumuingia kinyume na maumbile. Ila tumeruhusiwa kuwaingilia wake tunavyopenda wakafananishwa na "Konde (Shamba)" tuwaingilie tunavyopenda kwa maana ya style, akae juu, abinuke alale kiubavu haina shida ils haramu kumuingilia kwenye tupu ya nyuma.
 
So unakubaliana na main topic yangu ipo sahihi japo 70%

Kwanini wanaume hatuendi na fasheni ya kuvaa gauni na blauzi barabarani?? (Mwanaume halisi sio hormonal imbalance)

Wengi hufanya ili kumkontrol mwanaume Kwamba kila anachosema atelekeze (Commanding) kama sisi wanaume tunavyowakontrol

Pole kwa madhira yaliyokupata. Me na Ke hawezi kua sawa kamwe dunia na mifumo yake imekaa kiume. Kutaka kuibalnce ni kwenda kinyume na law of nature/ Mpango wa Mungu.

Hiyo ndio style rasmi aliyoweka Mungu🤣
Kwanza mnakua mnatazamana man to man/live. Kunakua na connection and feelings fulani hivi ambayo unajisikia kweli you're a Human hasa wote mkiwa mnapendana.

Ahsante kwa majibu yako with maturity and smartness inside. There's only one person anayeweza jibu hivi😘

Swali la nyongeza, Je unapenda ubwabwa??🏃🏃
Mada yako umeandika kuhusu mwanamke anayetafuta attention ya wanaume, Mimi nimeandika kuhusu mwanamke anayetafuta attention ya mume wake. Tunaongelea watu wawili tofauti. Mf. kuna wanawake hutowaona wamevaa nguo za kubana nje, lkn yupo mwanaume anayemuona nazo

* wanaume siku hizi wanahangaikia sana muonekano, kwanza ana dressing table halafu Ina makorokoro kuliko dressing table ya mwanamke, sijui ni kukosa kazi za kufanya. Lkn moja ya sababu ni mitandao na biashara za watu, leo imegundulika wave unapaka, kesho imetoka scrub unaenda, keshokutwa kutengeneza kucha na miguu nk. Ni wahanga wa utandawazi

* sasa hao wanaotaka kumfanya mume msukule/zezeta wengine ni wagonjwa wa akili, kwanza kitendo tu cha kumuendea mtu kwa mganga inaonyesha kuna shida kwenye medula, hata kiroho pia una shida

* Yes napenda wali, unalima mpunga??
 
Kila kiumbe duniani akiwepo Mungu pia wote tunapenda kua Appreciated kwa lile tulilofanya. Kwa Mwanaume tunapenda kuambiwa ahsante kutoka kwa wanawake wetu..Na Mwanamke anapenda kusifiwa kwa vile alivyo.

Kuna tukio Yesu aliponya watu 10 wakaondoka kwa furaha kuu ila akarudi mtu mmoja kumwambia aahsante juu ya uponyaji aliopewa, Yesu alifurahi na kumsifu akamzawadia Kusamehewa dhambi zake zote. Umeona nguvu ya kuAppreciate yale tunayofanyiwa/tunayofanya??

Mwanamke anapenda kusikia matendo na Mwanaume anapenda kuona mtendo. Ukimiliki sikio la mwanamke vyema basi utafaidi mambo matamu kutoka kwake. Vivyo hovyo ukimili amcho ya mwanaume utafaidi.

Sasa kama mume anashimdwa kumiliki sikio la mke wake na kumpongeza pale anapotokelezea basi mume huyo hafai na amekosa kitu kikubwa kwenye maisha ya mapenzi.

Mwanaume asiyesifia mpenzi wake ni kama mboga isiyo na chumvi, hailiki kabisa. Kusifia ni kinogesho kikubwa mno cha mapenzi kwa mwanamke

#Kama hutajali naweza kujitolea katika hilo mkuu kama hutajali, sorry lakini I'm not taking advantage of you [emoji85][emoji85][emoji125][emoji125]
Yaani huko juu ulianza vizuri ila ulivomalizia sasa ndo nimechoka
 
Hakuna mwanamke anaechoka kusifiwa hata kama ni mara mia kwa siku, tena ukimsifia mwanamke wako wakati mwingine atafanya vizur zaidi ila kama anachofanya huoneshi kuappreciate anakata tamaa anaanza kukuona hauko romantic au humpendi
Ok soo unatakiwa kumwambia bby napenda muonekano wa tako lako ukivaa leggings.....jamani bby i love it wen u smile.
 
Hilo siyo haramu kisichotakiwa ni kumuingia kinyume na maumbile. Ila tumeruhusiwa kuwaingilia wake tunavyopenda wakafananishwa na "Konde (Shamba)" tuwaingilie tunavyopenda kwa maana ya style, akae juu, abinuke alale kiubavu haina shida ils haramu kumuingilia kwenye tupu ya nyuma.
Nahisi hili andiko nililisoma sehemu na likihusiana na Dini yenu. Ngoja nimwalike FaizaFoxy anipe ilmu juu ya hili
 
Sasa sii ndio unipe connection za huko

Nenda kachek totozzz
 
Eid Mubarak y’all…

Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote amabo andiko hili litaSound vibaya kwenu.

I’m not something of an expert and these sorts of things it's kinda not my area of expertise, but I will try to address this matter accordingly byto explaining the obvious-superbly.

Well, on default mode kichwani mwa mwanamke anaelewa kwamba yeye ndio center of attention and attraction kwa mwanaume, yaani hakuna anayeweza kumpagawisha mwanaume zaidi ya yeye mwanamke. Kwakulitambua kila mwanamke hutazama ni kitu gani hasa kajaliwa mwilini mwake ambacho anadhani kinaweza kuvuta attention ya mwanaume yoyote kama vile sauti, umbo anavyotembea, macho, tako, nyonyo, mapaja, nk akishaona kipi hasa kapendelewa basi atanza kukifanyia madoido na maonyesho ili wanaume wampe attention. Mfano, kama ana tako na shepu basi ataanza kuvaa nguo zinazochora na kuonyesha umbo lake vyema,kama ni macho mazuri basi ndio kila mda atakuangalia kwa kukurembulia au kuyatoa yawe makubwa kama mpira wa pooltable, kama ni nyonyo basi atavaa nguo zinazoonysha nyonyo vyema same applied to miguu ya bia,mapaja, kiuno nk nk.

Kwa sababu hiyo hapo juu ndio maana wenzetu hawa hutumia muda mwingi na ghalama kubwa kujipamba na kuiremba ili tu kuweza kukamata attention ya mwanaume. Sasa ikitokea mwanamke katumia muda na ghalama zake kujiremba halafu akatembea umbali maybe wa saa nzima kwenda na kurudi halafu ikatokea hakuna mwanaume yoyote hata anayegeuka kumtazama, kumpigia mluzi, kumuita au kufanya kitu chochote ambacho mwanaume ataonekana kawa attracted na huyo mwanamke basi Psychologically atakua Disturbed na akirudi nyumbani lazima ajichunguze wapi kakosea au ana kasoro gani hasa kwanini ‘kavunja kabati’ halafu nobody noticed her in any form of expression.

Anakua psychologically disturbed kisa tu no one noticed like a smoke in a the dark because kama nlivyosema wanawake wote duniani wanaelewa wao ndio center of attention and attraction kwa wanaume so ikiwa hatapata attention aliyodhania kwamba anayo na lazima aipate kutoka kwa mwanaume lazima imuume na kumtesa kiakili.

kwanini watu Hardcore Guys/ wasiojali wala kushobokea wanawake na watu wakimya ndio wanaongoza kwa kuwala/kuWin mioyo ya wanawake wengi zaidi?

Kama nilivyoeleza huko juuu mwanamke siku zote hufunya kila kitu kuwinda attention ya mwanaume yaani aonekane kwamba Fulani Yule pale anapita na apate confirmination feedback kwamba wamemuona. Mwanaume ukiwa haushobokei mwanamke yaani labda mwanamke Fulani kwenye group lenu labda darasani,mtaani,ofisini nk akiwa anajiona yeye ni mrembo/pisi kali wanaume wakiwa wanamshobokea halafu wewe ukawa hujali chochote kuhusu yeye yaani kama humuoni au unamchukulia kama kambale tu , lazima mwanamke huyo ajiulize kwanini wewe humshobokei na itamtesa kwa kweli akilini mwake. Ataanza kutafuta njia na sababu yoyote kua karibu nawe ili tu ajue “what special about you” mpaka hujali kuhusu yeye.

Sasa katika kutafuta attention hiyo kwako mwisho wa siku anajikuta Tunda liinaliwa mockery. Same applied to Quite Guy, wanaume wakimya kwasababu hawana muda wa kupiga stori na wadada wao wanajai mambo yao tu yaliyowapeleka sehemu hiyo. Wanawake wakiona mtu huyo yupo tu na mambo yake yeye ni salam basi hana stori nao basi lazima waanze kutaka kujua what special about the guy hadi anakua hana stori nao. Watatumia njia yoyote hata kwa kukuletea chakula, vizawadi, hata kukuongelesha ongelesha ilimradi tu uwape attention yako. Katika kufanya hivyo ndio wanajikuta pia tunda limeliwa Mockery.

Unajua On universal law mwanaume anakua defined mbele ya jamii kwamba yeye ni nani kwa matendo yake na si maneno, ila kwa wenzetu hawa Mwanaume anakua defined kwa Maneno na Expression yake. Yaani anaongea nini na ana haiba gani, mwanamke anataka apate attention ya mwanaume kwa kuambiwa maneno mazuri mazuri kutegemea na jinsi alivyoumbika, pia anategemea mwanaume atampa attention kwa kumfuata-fuata.

Wanawake wana tabia moja naiita "Show and Tell", kwamba wakiwa kwenye maongezi yao wanapenda kumchambua mwanaume mmoja mmoja, kama nilivyosema wanawake wanapenda zaidi maneno. Ikitokea mwanamke akamuongelea mwanaume Fulani maneno mazuri basi hao wengine wote wote wataanza kuvutiwa na mwanaume huyo. Utakua unapita mtaani tu unaona wanaku-Admire na kukuchekea kumbe File lako washalipata.

Wakimsema mwanaume Fulani ni mkimya au anajisikia sana basi wengine wote wataanza kumfuatilia mwanaume huyo wajue kwanini anajisikia sana, Deepdown sio kwamba mwanaume anakua hajiioni bali ni kwamba He doesn’t give a fvck about them-chicks , he’s just minding his own business . hiyo inawaumiza kweli kichwa wanawake and bumming them out.

Mwanamke akikosa attention ya mwanaume anachanganyikiwa na akianza kuwinda attention ya mwanaume atatumia kila mbinu anayoijua kuipata. Si mnajua mwanamke akiPlot mipango yake kutenda kitu hata shetani mwenyewe anakaa chini kuigilizia mbinu….Ukitaka kujua moja ya mbinu zao za kuwinda attention angalia picha zao za Fb, Insta na video zao za Tiktok.

[NB: Kocha hutoa maelekezo akiwa nje ya Uwanja[emoji6][emoji6]]

[Naombeni radhi nyote mliyochukizwa na mada hii, halikua kusudia langu kuwachukiza]

Vinci…
Hamshindi mwenye uhitaj wa ndoa
 
Back
Top Bottom