Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Time heals...tena una afadhali coz unajua kuhusu process ya kuomboleza.
Mimi niko tofauti kidogo. When I promise something I mean it and I keep it always inside me. Ndio maana sipendi kua attached na watu au vitu coz once I do they become part of me
And why are calling me Skye?
The reasons I call you Skye & Daisy
Screenshot_20220603-144535~2.png
 
Siujui 🤣 . I'll go listen to it
Hata The maiden awe kati ya wanawake elfu halafu mimi nipitishwe nimefungwa macho/blindfold lazima Nitambui Daisy ni yupi
 
You nailed it Skye as always [emoji8]
Tatizo Sio kila mtu anaweza kuCope With Emotional Recovery yaani kutoka kwenye Denial kwenda Acceptance kwamba this person ain't belong/mine anymore. Ni ngumu sana hasa upande wangu mimi. Acceptance pekee nayoweza kucope with ni kwamba I adore the Maiden and I can't forget anything about her
Mmmmh pole Sana mkuu.
 
Hakuna mwanamke anaechoka kusifiwa hata kama ni mara mia kwa siku, tena ukimsifia mwanamke wako wakati mwingine atafanya vizur zaidi ila kama anachofanya huoneshi kuappreciate anakata tamaa anaanza kukuona hauko romantic au humpendi
Kusifiwa inatakiwa iwe ni mara moja moja mkizoeshwa kusifiwa mtavimba kichwa, mwanaume inatakiwa usitabirike leo yes kesho no ikiwa yes kila siku mahusiano ayotodumu
 
Ok soo unatakiwa kumwambia bby napenda muonekano wa tako lako ukivaa leggings.....jamani bby i love it wen u smile.
Ewaaaa[emoji2][emoji2]utaona kama umemsifia sauti yake atazidisha manjonjo .. that's how we are kwa tuwapendao.. (msisitizo, tuwapendao) kama humpendi mtu hata hujali akukute na deraa sawa tu[emoji119][emoji119]
 
Ewaaaa[emoji2][emoji2]utaona kama umemsifia sauti yake atazidisha manjonjo .. that's how we are kwa tuwapendao.. (msisitizo, tuwapendao) kama humpendi mtu hata hujali akukute na deraa sawa tu[emoji119][emoji119]
Aisee kumbe kweli....dah sasa sie wengine kubembeleza sifuri kabisaa. Itabidi nikutafute unifundishe unabembelezaje.

Wee dera zuri bwana kama mwanammke ana tako alafu anjilitisha mbele ya bby wake...sii anajua bby lazima atalichapa tako😜
 
I'm sorry bibie I was just messing around. I can't take advantage of you kisa tu umesema hupati vitu hivyo. Raha ya upendo utiririke wenyewe bila kukuvizia na kukutumia kwa matatizo uliyonayo.
I'm sorry [emoji120]
Ooh okay I got you, ila mi nasifiwa sana Le hubby na sichoki
 
Mimi niko tofauti kidogo. When I promise something I mean it and I keep it always inside me. Ndio maana sipendi kua attached na watu au vitu coz once I do they become part of me

The reasons I call you Skye & Daisy
View attachment 2249241
After several encounters with "disappointments", and if you truly are of pure intentions, you must have developed the ability/knowledge to notice those without good intentions, such that its not going to be easy for you to give out/promise anything valuable to someone who doesn't deserve it.

If it happens time and time again that you find yourself in the same nasty situation with users and abusers , I think it's time for some self reflection and soul searching, no I don't think "that's just the way you are", I think you're just still "attached" to some negative ideas/thoughts/behaviors that u should let go,
 
Hata The maiden awe kati ya wanawake elfu halafu mimi nipitishwe nimefungwa macho/blindfold lazima Nitambui Daisy ni yupi
🤣 🤣 this is a movie, haven't watched a movie for a long time, I don't know the story behind "The maiden"
 
🤣 🤣 this is a movie, haven't watched a movie for a long time, I don't know the story behind "The maiden"
😅😅😅 Jifanye mjanja tu
This is a whole story about the Maiden flair, I hope n trust thatyou're smart enough to deciphering intended message

I was fierce warrior known as samurai trained to serve my Lord. As samurai I was required to be forever in The Master's service..Serving with cultivated the bushido codes of martial virtues, indifference to pain, and unflinching loyalty, engaging in many local battles. I served, My Lord was pleased with my service due to my Integrity, for that My master Said that my master Said that my service will be required from here to hereafter...Till the end of line if the gods will be so kind to Us..

That statement meant a lot to me cause my biggest concern and ambition was to serve the master with all of mine
The Wisdom says " If light burn so bright then the dark is on the door" trying to knock you out. Don't have Clues on what emerged, The Master gone..Just absent without oficial leave. I don't know to what inconvenience made the master forget about a promise "The Service here and hereafter". He just left

Now I'm here alone to the castle without a lord/master to serve, I'm just a Ronin. A samurai without a master to serve.

With all my talent and abilities now I have no one to serve, Who will teach me strength Who will teach me grace? To whom I will turn when it's time to learn to look darkness in the face? Ooh cruel gods take my life instead, For I can't face another day when my master is dead or gone. It's the darkest day and my heart is full of sorrow, all hope is lost, all joy is gone and there's no tommorow

knowing that The maiden Master gone broke me, The Samurai, I was just now a program without a purpose, The victor and soldier without a war to fight sentenced to spend all the eternity alone without my master.... My will to live Meter is flatlining. Since I can't intervene to know where the master is because I pledged to do not Until I'm being called Upon.

I swore an oath that I can not exert my will on the natural order of things
Still I keep hope against the worst of odds that The Master will be back.
I hope I will find my purpose again as a useful Samurai.You always have to talk me out!! It's just really frustrating and that bums me out
 
Ukiwashobokea sana hawa wenzetu wanakuona fala, Ukitaka kuWin mioyo yao. Wewe Care, then Don't care. They'll start to care about you, to know why you donte care anymore.

Hii haifanyi kazi kwa kila mwanamke, kuna wengine Smart, Confident and Intelligent. They don't need your approval. So wasomaji muwe makini to know when to shoot and when not to.

View attachment 2210040
Umeamua kumquote Ramsay na Jeofrey
 
Back
Top Bottom