Hahhaha wanawake bwana.
Ukiwa mtu ambaye huna time na vitu vidogo wanaweza kukuona hauko romantik.
Imagine akivaa hereni umsifie hata kama yuko kawaida,akivaa shanga umsifie hata kama yupo kawwida.
Yaani hiyo inaonesha kwwmba wanawake mindset zao wanavaa au wanafanya vitu ili wasifiwe,hawafanyi vitu kwa ajili yao wenywwe,wanakuwa bado ni watumwa.
Hata kwenye tendo la ndoa wwnawakewengi mindset zao wanafanya tendo kwa ajili ya waume ndio maana wanaweza kukunyima hilo tendo kama adhabu.
Mimi nadhani hizi mindset wanawake waziwache ila nadhani ni mindset wamejengewa tokea wanazaliwa so ni vigumu sana kuziwacha.
Huwezi kuta mwwnaume anamlalamikia mkewe kwamba hajamsifia kama kapendeza.