Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Nimecheka
Eti ukimuona kama celebrity yeye atakuona shabiki🤣🤣🤣🤣
Ila hujapata tu anaejielewa,ukimpata huyu hutahitaji kuprove you are a man,yeye mwenyewe atajua nafasi yake kwako!
Ni swala la muda tu.
 
Hii ni 100% kweli...

Nilipokuwa A level nilikuwa mkimya, wadada wakawa wanakasirika. Kuna mmoja akajitosa kuja kujibebisha livelive.

Mwingine alijishobokesha ila bado nikamlia ngumu, akaamua kuniandikia ujumbe mrefu wa manung'uniko kwenye cover la counterbook langu.

Kuna mwingine nae kama kawaida sikumpa attetion, akaamua kuchukua simu yangu na kuisave namba yake kwenye simu yangu na pia akachukua namba yangu. Siku mbili zikapita sijamtafuta, akaamua kunitafuta mwenyewe.

Kiukweli nishasahau hadi kutongoza, hii tabia yangu ya kutowapa attention imekuwa ikinipatia warembo kila kukicha.
 
Nakumbuka zamani nilikuwa fala sana daah kila nikikumbuka najiona fala kuoita maelezo fala wa kiwamgo cha SGR[emoji2]

Wakati naanza kazi nilipanga nyumba fulani hivi. Wapangaji tuko watatu hao wengine ni wanawake.,mwanaume peke yangu.

Mmoja kati ya hao wapangaji ni mdada tu japo alinizidi umri ila alikuwa anaita sana na mzigo kafungashia sana tu toto la kipare.

Basi bwana nilikuwa na mind michakato yangu ,mimi salamu tu,huyo room kwangu.

Kuna siku yule dada akaanza onesha kutaka attention na mimi siku notice hicho kitu sababu ya ufala[emoji15]

Akaanza akipika chapati jikoni kwake naletewa kukataa siwezi daaah.

Mara apendezi kweli na kujipitisha kwangu.

Kuka siku eti akaanza tabia ya kuja chajia simu room kwangu eti kwake swichi imeungua (niligundua baada kuwa muongo) basi kusa mimi sina time nae nikawa namwachia funguo za room halafu mimi naseoa job (anapajua) na mwambia nipitishie funguo ukimaliza.

Mara agonge usiku[emoji2]

Ikapita miaka mingi na baada ya kuwa mtaalamu wa hio tasnia kuna siku nikawa na reflect back yule dada alikuwa anamaanisha nini!? Bila shaka alikuwa anataka nimgonge (zingatia ni mpare[emoji4] huwa wanawashwa sana down there).

Basi nikajiona fala fursa adimu niliikosa

Alikuja kuhama kwenda masomoni baada ya miaka 3 kurudi amekongoloka sio yeye yule alikuwa anaita

Maisha bana.
 
Mwamba una maisha simple sana, yaani uwezi pata stress hata siku moja kwa style hii.
 
Mwamba una maisha simple Sana, yaani uwezi pata stress hata siku moja kwa style hii.
Mkuu nilijaribu kuchange kutokana na mazingira nikiwa advance level kwa kuwa ni uboyzini ila nilipata tabu sana kujifanya ni mchangamfu. Nilichokipata duh. Ila chuo nilirudi uhalisia.
 
Kuna namba yangu moja niliweka dp picha ya demu ... Asee wasichana wanapitia changamoto sana ..simu muda wote inaita nikiwasha data mambo ni balaa
 
Ukitaka kuinjoi raha ya mwanamke just don't care and be Mkimya tu. Unaweza hisi una dawa ya kuwavuta😅
Bosss iki kitu mi ndo nnacho nashindwa kabisa kumshobokea mademu na asili yangu ni mkimya ila uwa nashangaa wanajileta wanataka kunizoea sana na kunifahamu kiundani na vitu vyangu maana wanakuwa hawajui vitu vingi kunihusu na hii unitokea kila mazingira ninayokuwepo kwa muda mrefu kuanzia shule nilizosoma na vyuo lazima nipate mademu wanaonitania mume😀😀
 
Hii kitu mbaya mi mwenyewe na tabia hii hadi kuna mademu uwa wananiwaza kinoma 😀😀demu wanamwita ita jina lake ila mhuni sijawahi mwita wala kumpigisha stories hadi namhurumia anavyoniangalia kwa mawazo 😀😀sema ukitaka akuote siku mwite jina lake ghafla tu atafurahi uyo 😀😀
 
Mademu uwa wanapenda mwanaume wa tofauti na wote 😀😀yaani unique
 
Ndio ilivyo usipowashobokea wanashoboka... Ukishoboka wanakupotezea.
 
Ukafeli kutimiza?? Unazingua akishoboka usipomtimizia akitakacho anakudharau na kukuona bwege. Usichague mnofu bwashee, wewe tafuna tu ilimradi umejileta mbele yako
 
Hii ni ukwel mtupu,yan usipotoa attention basi utaonekana unadharau na maringo kinoma yan.
 
Hii ni ukwel mtupu,yan usipotoa attention basi utaonekana unadharau na maringo kinoma yan.
Hizi tuhuma zinanikumba sana , mademu usipo washobokea wanaanza kusema unajiona mara unaringa ila mimi huwa sijali kama demu simjui ni mikausho mikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…