Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Huu uzi ni ukweli mtupu niliwahi kalia kimya demu wawili takribani wiki 2 hivi wenyewe wakanitafuta na kupiga simu juu nilichogundua hawa watu sio wakuwapa attention saaaaaana
 
Huu uzi ni ukweli mtupu niliwahi kalia kimya demu wawili takribani wiki 2 hivi wenyewe wakanitafuta na kupiga simu juu nilichogundua hawa watu sio wakuwapa attention saaaaaana
karv Ukiwanyima attention inawatesa sana moyoni, ni wadhaifu sana kwenye eneo hili.
 
Huu uzi ni ukweli mtupu niliwahi kalia kimya demu wawili takribani wiki 2 hivi wenyewe wakanitafuta na kupiga simu juu nilichogundua hawa watu sio wakuwapa attention saaaaaana
Kuna manzi nlikuwa nimemuelewa na ye alilijua hilo, akaanza kunata. Nikaamua kuachana naye no sms no call. J4 ya week hii tumekutana sehemu ya kazi ananiambia sikuhizi najishaua sana.

Jana tumekutana tena, nlikuwa na rafiki yangu kazini, kampa hi rafiki yangu mie akanipita kama hanijui. Muda wa breakfast anaanza kupitisha pitisha mikono uson kama vile mi ni kipofu nafanyiwa majaribio ya kuona, nika assume hakuna kitu, nikachukua vitafuno vyangu nikasogea pembeni, busy muda wote na simu. Akaondoka zake, narudi amekaa kwenye kiti changu ofisin ,nikamtaka asimame aondoke[emoji23][emoji23] eti ananiangalia usoni, Mimi muda huo sura kavu, mmeru wa watu akasimama akaondoka zake.
 
Hapo amani anazidi kukosa yeye. Yaani ile kumsalimia rafiki yako tu ni kukukomoa. Mimi kuna mmoja nilimpenda baada ya kuanza Marengo nikaanza kumpotezea hata simu zake sometimes nikawa sipokei akaanza kuniambia naringa kitu ambacho sikuwahi kutarajia kama atakuja kuniambia kwajinsi alivyukuwa anaringa
 
Exactly yaani don't force friendship, company au relationship utaumia Sana ukitumia nguvu nyiiingi na kupoteza mali .....
 
Mmefikia wapi hadi sasa tunaomba mrejesho
 
Sasa mkuu topic ya organic chemistry ndo ilikuwa rahisi kuliko topics zote ktk kemia, na hili ni tatizo la vijana wengi wa PCM sijui mlikuwa mnafeli wapi. Mnasolve vitu vigumu vya physics na pure halafu mnashindwa organic ambayo ni maji kabisa, we kama unataka kuamini tupia hata swali la convertion hapa uone, nikupe options kulingana na number of steps.
 
Mliosoma mna mbwembwe nyie
 
Hii kanuni ilinifanya ni win sana mademu wakali wakati sina hata hela.

Wale waliokuwa wanashinda wanawachekea waliishia kuwa washika Pembe tu
 
Yaani wewe ni kama mimi tu tofauti yangu na wewe mimi sikula hata mmoja. Dawa yao ni kuwa kauzu na kuwaburuza masomo magumu magumu mfano physics miaka yote, NECTA napo ni kuwaburuza unakuwa wa kwanza shule nzima na kuweka historia ambayo mpaka sasa haijavunjwa, chuo napo mwendo ule ule.

Hadi wengine wakawa wananitongoza kwa maneno serious na kwa vitendo na ishara ila nikawapiga chini wote. Nikaanza kula mademu baadae kidogo japo siyo wengi, nadhani nilijiepusha na mengi kutokula mademu na kutokuwa na shobo nao hata chembe.

Hao ndo dawa yao ni ukauzu na kuwa na miakili tu, watakuja wenyewe kama mvua, lakini ukiwatongoza ndo eti wanakuchenga dah 😂🤣, Kwa sasa nakawinda kabinti fulani hivi najua siku ya sikukuu nitakakula tu, nikiona kananifaa naishi nako hako hako.
 
We utakuwa pacha wangu itabidi tujuane aisee..
 
nikiona kananifaa naishi nako hako hako

Epuka kuwa na option moja ya mwanamke
 

Eva kitendo cha kufanya maamuzi na nyoka bila kumshirikisha mumewe ni hali ya kutaka kuwa ndo kichwa wa familia, Mungu akamwambia "hiyo tamaa yako(ya kuwa kiongozi/kichwa) itakuwa/atapewa mumeo naye atakutawala( Mwanzo 3:16)
 
nikiona kananifaa naishi nako hako hako

Epuka kuwa na option moja ya mwanamke
Muda wa kuwa na wanawake wawili sina aisee nitajigawaje, labda wengine wawe rafiki wa kawaida tu ili mwenzao akizingua tu natafuta rafiki mmoja ndo awe mbadala.
 
Yes, imeandikwa "wake zenu ni kama konde zenu, basi ziendeeni konde zenu mpendavyo..." Qur'an 2:223, hiyo ni Al-Baqarah
 
Tupe mrejesho mkuu kama ulikakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…