Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Ndio. Wengi wanapenda kua hivyo
Sasa kama wanapenda kuwa hivyo maana yake watampenda pia mwanamume atakayewapa hiyo authority.

Na kama watampenda mwanaume atakayewapa hiyo authority maana yake sisi inatakiwa tubehave katika namna ya kuwapa wao authority ili tuwawin

Sasa kwa nini inakuwa kinyume chake yaani hatuambiwi kwamba mwqnamke ukitaka kumwin akupende basi muache akutawale yaani umpe authority,badala yake tunaambiwa kwqmba mwanamke ili akupende na umwin inatakiwa usimpe authorityjuu yako ?

Unaweza kufafanua hapa inakuwaje kuwaje ?
 
Sawa kabisa. Na wanapenda kusifiwa. Akivaa vizuri usipomsifia inakuwa kesi!
Hahhaha wanawake bwana.

Ukiwa mtu ambaye huna time na vitu vidogo wanaweza kukuona hauko romantik.

Imagine akivaa hereni umsifie hata kama yuko kawaida,akivaa shanga umsifie hata kama yupo kawwida.

Yaani hiyo inaonesha kwwmba wanawake mindset zao wanavaa au wanafanya vitu ili wasifiwe,hawafanyi vitu kwa ajili yao wenywwe,wanakuwa bado ni watumwa.

Hata kwenye tendo la ndoa wwnawakewengi mindset zao wanafanya tendo kwa ajili ya waume ndio maana wanaweza kukunyima hilo tendo kama adhabu.

Mimi nadhani hizi mindset wanawake waziwache ila nadhani ni mindset wamejengewa tokea wanazaliwa so ni vigumu sana kuziwacha.

Huwezi kuta mwwnaume anamlalamikia mkewe kwamba hajamsifia kama kapendeza.
 
Kumbuka kwanza Mkuu kiini cha maongezi yetu na hili unalotaka tujadili hapa ilikua mfano.
Btw, napenda zaidi utoe fikra zako nami nitoe zangu sio mimi ndio naandika tu wewe unauliza maswali. Funguka fikra zako zinavyokuambia nami nijifunze. Ninapoandika hapa sio kwamba nipo sahihi 90%
 
Uliyoyaandika hayana uhalisia kwangu!
Well, kila mtu atakuambia hivyo. But I assure you nikiwa nawe in 2days nitagundua kils kitu kukuhusu. Na hata kama haupo hivyo itakua ajili ya umri na majukumu uliyonayo ndio unaona vitu hivyo havina maana kwako but deepdown vipo ndani yako hata kama you don't feel it. Unajua hua tunakua miili na Experience tu ila roho zetu zinabaki vile vile.... So unatakiwa upate the one who will scratch your floor and reveal the dark side of yours 😉
 
Binafsi nilitegemea mada hii itapingwa zaidi na wanawake kwamba sio kweli.
Je wewe unaonaje as the victim on this topic
Aiseee kwa hiyo mi najiremba ili kupata attention toka kwa wanaume!!!!![emoji16]
Binafsi napenda kujiremba sijawahi waza nijirembe ili nipate attention lkn i know i have to keep smart myself yani jipende ww mwenyewe kwanza,
Kuhusu kutokuitwa au kupigiwa miluzi mi sizingatii ata wamepiga au hawajapiga yan hio mm hainihusu wala kunipa maswali labda km hawajapiga it's not my concern, All in all kupata attention toka kwa mtu unayempenda ni muhimu sana nadhani tumeumbwa hivyo .
 
kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…