Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Hao wapo ndio nakubali ila hio inaweza kusababishwa na some life experiences kama hardship na vitu zingine,ila at her relexing mode akiwa hana stress ,mkuu lazima atapata hisia hizo coz its something wanapenda,women waanapenda sana attentions .
It's true. By default mode every woman succumb to flattery. Hata kama anaonyesha hsjali ila deepdown bado atapenda kusifiwa. Coz it's in their DNA
 
Utakuta mtu anajipost twitter na Caption " instagram saw it first" wanawake ni majangili basi tu[emoji31][emoji31][emoji1787][emoji1787]
 
Aiseee kwa hiyo mi najiremba ili kupata attention toka kwa wanaume!!!!![emoji16]
Binafsi napenda kujiremba sijawahi waza nijirembe ili nipate attention lkn i know i have to keep smart myself yani jipende ww mwenyewe kwanza,
Kuhusu kutokuitwa au kupigiwa miluzi mi sizingatii ata wamepiga au hawajapiga yan hio mm hainihusu wala kunipa maswali labda km hawajapiga it's not my concern, All in all kupata attention toka kwa mtu unayempenda ni muhimu sana nadhani tumeumbwa hivyo .
This looks like plausible deniability
 
Usikariri maisha!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sie tunaojielewa hatuvai kupendeza ili tushindane na wanawake wenzetu , pia kuvutia wanaume is not the main issue,ukijua kuwa unatakiwa kujipenda basi utahakikisha unavaa vizuri unapendeza you look smart and clean that's all,siwezi mm kukaa rough eti kisa nikipendeza ntaonekana nataka kuwa impress wanaume No never!Aiseee ktk umri huu hapana hizo sababu zako zipo lkn we are not the same(women).
See the emojis Ooh My God (kwa sauti ya Heinsenberg)[emoji1787][emoji1787].. i find it funny
 
Nikwamba mwwnamke ili umuweze yaani akushobokee basi wewe usioneshe kama unamuona mzuri kiviiiiileee,yaani jifanye unamiona wa kawaida tu.

Ukishajifanya unamuona wa kawaida tu hapo mwanamke atapagawa na kujiuliza kwwmba ina maana huyu jamaa hanikubali hanioni kama mimi pisi ?

Hapo akishajiuliza ndipo ataanza kusema "sikubali nitafanya kila njiaa ili akubali kwamba mimi pisi"

Hapo ndipo ataanza kutumia njia za kujilengesha na kujipemdekeza kwako ili tu ajiridhishe kwamba umekubali kuwa yeye ni mzuri
Usifanye urafiki na wanawake...eti mdada fulani ni mshikaji wangu. Kwangu never. Ukiwa karibu nami nature yangu kama mwanaume lazima ifuate mkondo...
 
Hayo ndio makosa wanayoyafanyaga nice guys
Zamani nilikua hivyo. I was that guy ambae mtu yoyote anaweza kumkimbilia ili kupata faraja. Sikuwahi kupata faida yoyote ya mimi kua na urafiki na Ke. Kikubwa wengi walinipenda coz I was good in advising...niwashauri kuhusu Bwana zao😅
Hata rafiki wa kiume ni hivyo hivyo matatizo yao hua wanaona mimi ndio mtatuzi.

Nikajiwekea mipaka..Sitaki urafiki tena Ke. Ndio maana simu yangu ina namba chache sana za Ke. Nikihifadhi namba yako kama wewe sio ndugu yangu basi jua tu soon or later nature yangu kama mwanaume lazima ifuate mkondo...
 
View attachment 2337175

Eid Mubarak y’all…

Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote ambao andiko hili litaSound vibaya kwenu.

I’m not something of an expert and these sorts of things it's kinda not my area of expertise, but I will try to address this matter accordingly byto explaining the obvious-superbly.

Well, on default mode kichwani mwa mwanamke anaelewa kwamba yeye ndio center of attention and attraction kwa mwanaume, yaani hakuna anayeweza kumpagawisha mwanaume zaidi ya yeye mwanamke. Kwakulitambua kila mwanamke hutazama ni kitu gani hasa kajaliwa mwilini mwake ambacho anadhani kinaweza kuvuta attention ya mwanaume yoyote kama vile sauti, umbo anavyotembea, macho, tako, nyonyo, mapaja, nk akishaona kipi hasa kapendelewa basi atanza kukifanyia madoido na maonyesho ili wanaume wampe attention. Mfano, kama ana tako na shepu basi ataanza kuvaa nguo zinazochora na kuonyesha umbo lake vyema,kama ni macho mazuri basi ndio kila mda atakuangalia kwa kukurembulia au kuyatoa yawe makubwa kama mpira wa pooltable, kama ni nyonyo basi atavaa nguo zinazoonysha nyonyo vyema same applied to miguu ya bia,mapaja, kiuno nk nk.

Kwa sababu hiyo hapo juu ndio maana wenzetu hawa hutumia muda mwingi na ghalama kubwa kujipamba na kuiremba ili tu kuweza kukamata attention ya mwanaume. Sasa ikitokea mwanamke katumia muda na ghalama zake kujiremba halafu akatembea umbali maybe wa saa nzima kwenda na kurudi halafu ikatokea hakuna mwanaume yoyote hata anayegeuka kumtazama, kumpigia mluzi, kumuita au kufanya kitu chochote ambacho mwanaume ataonekana kawa attracted na huyo mwanamke basi Psychologically atakua Disturbed na akirudi nyumbani lazima ajichunguze wapi kakosea au ana kasoro gani hasa kwanini ‘kavunja kabati’ halafu nobody noticed her in any form of expression.

Anakua psychologically disturbed kisa tu no one noticed like a smoke in a the dark because kama nlivyosema wanawake wote duniani wanaelewa wao ndio center of attention and attraction kwa wanaume so ikiwa hatapata attention aliyodhania kwamba anayo na lazima aipate kutoka kwa mwanaume lazima imuume na kumtesa kiakili.

kwanini watu Hardcore Guys/ wasiojali wala kushobokea wanawake na watu wakimya ndio wanaongoza kwa kuwala/kuWin mioyo ya wanawake wengi zaidi?
View attachment 2337174

Kama nilivyoeleza huko juuu mwanamke siku zote hufunya kila kitu kuwinda attention ya mwanaume yaani aonekane kwamba Fulani Yule pale anapita na apate confirmination feedback kwamba wamemuona. Mwanaume ukiwa haushobokei mwanamke yaani labda mwanamke Fulani kwenye group lenu labda darasani,mtaani,ofisini nk akiwa anajiona yeye ni mrembo/pisi kali wanaume wakiwa wanamshobokea halafu wewe ukawa hujali chochote kuhusu yeye yaani kama humuoni au unamchukulia kama kambale tu , lazima mwanamke huyo ajiulize kwanini wewe humshobokei na itamtesa kwa kweli akilini mwake. Ataanza kutafuta njia na sababu yoyote kua karibu nawe ili tu ajue “what special about you” mpaka hujali kuhusu yeye.

Sasa katika kutafuta attention hiyo kwako mwisho wa siku anajikuta Tunda liinaliwa mockery. Same applied to Quite Guy, wanaume wakimya kwasababu hawana muda wa kupiga stori na wadada wao wanajai mambo yao tu yaliyowapeleka sehemu hiyo. Wanawake wakiona mtu huyo yupo tu na mambo yake yeye ni salam basi hana stori nao basi lazima waanze kutaka kujua what special about the guy hadi anakua hana stori nao. Watatumia njia yoyote hata kwa kukuletea chakula, vizawadi, hata kukuongelesha ongelesha ilimradi tu uwape attention yako. Katika kufanya hivyo ndio wanajikuta pia tunda limeliwa Mockery.

Unajua On universal law mwanaume anakua defined mbele ya jamii kwamba yeye ni nani kwa matendo yake na si maneno, ila kwa wenzetu hawa Mwanaume anakua defined kwa Maneno na Expression yake. Yaani anaongea nini na ana haiba gani, mwanamke anataka apate attention ya mwanaume kwa kuambiwa maneno mazuri mazuri kutegemea na jinsi alivyoumbika, pia anategemea mwanaume atampa attention kwa kumfuata-fuata.

Wanawake wana tabia moja naiita "Show and Tell", kwamba wakiwa kwenye maongezi yao wanapenda kumchambua mwanaume mmoja mmoja, kama nilivyosema wanawake wanapenda zaidi maneno. Ikitokea mwanamke akamuongelea mwanaume Fulani maneno mazuri basi hao wengine wote wote wataanza kuvutiwa na mwanaume huyo. Utakua unapita mtaani tu unaona wanaku-Admire na kukuchekea kumbe File lako washalipata.

Wakimsema mwanaume Fulani ni mkimya au anajisikia sana basi wengine wote wataanza kumfuatilia mwanaume huyo wajue kwanini anajisikia sana, Deepdown sio kwamba mwanaume anakua hajiioni bali ni kwamba He doesn’t give a fvck about them-chicks , he’s just minding his own business . hiyo inawaumiza kweli kichwa wanawake and bumming them out.

Mwanamke akikosa attention ya mwanaume anachanganyikiwa na akianza kuwinda attention ya mwanaume atatumia kila mbinu anayoijua kuipata. Si mnajua mwanamke akiPlot mipango yake kutenda kitu hata shetani mwenyewe anakaa chini kuigilizia mbinu….Ukitaka kujua moja ya mbinu zao za kuwinda attention angalia picha zao za Fb, Insta na video zao za Tiktok.

[NB: Kocha hutoa maelekezo akiwa nje ya Uwanja[emoji6][emoji6]]
View attachment 2279344

[Naombeni radhi nyote mliyochukizwa na mada hii, halikua kusudia langu kuwachukiza]

Vinci…
Dah! One time baadhi ya wanawake sijui wanapenda kuitwa waajabu
Yaani mtu utafute hele uumpe
Ufanye jitihada sijui afike kileleni
Huangaike uumpe attention
Umtafute humtongoze
Na hapo bado kazi ya kuutafuta ufalme wa Mungu mbinguni hujaikamilisha
Lazima uchoke[emoji38]
 
Dah! One time baadhi ya wanawake sijui wanapenda kuitwa waajabu
Yaani mtu utafute hele uumpe
Ufanye jitihada sijui afike kileleni
Huangaike uumpe attention
Umtafute humtongoze
Na hapo bado kazi ya kuutafuta ufalme wa Mungu mbinguni hujaikamilisha
Lazima uchoke[emoji38]
😂😂😂
 
Back
Top Bottom