Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

du, kwa kweli hawa michepuko wamezidi mizinga, wamefulia!
 

hahaha! nami umenikumbusha---kuna mchepuko wangu mmoja uliwahi kutaka kunipiga mzinga kwa staili kama hii nikaushtukia mapema
 
Kumbe hakuwa na hela wala hakua na mpango wa kazi ya laki tano. Alitumia mbinu ili nimpe then iwe kwaherii...nyinyi mna maambo sana.
dikembe mi nna shida na laki tatu naihitaji mwezi wa kumi ila nna laki moja....nikutumie hiyo laki moja mwezi wa kumi unitumie laki tatu?
 
Last edited by a moderator:

hahahaa hii safi sana nmeipenda!
 
tabibumtaratibu em cam zis wei nikuombe hela mie we ndo unafaa mwanaume kutunza banah sio kuwa na mkono wa birika sa usipomhudumia mpenzio nani amhudumie?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…