miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Mmh ww kweli mchaga mm nawaogopa nyinyi napesa zangu mbuzi nikiona hii title ya chaga mm hata kusalimia si salimii atleast useme 50,000 mmmh laki tano
Hii sms yako unamaanisha au unatania? sielewi.
Ila, Aaa Pole mungu atakusaidia yatanyooka.
Kwangu unaliwa pesa utasikia ata harufu yake. Labda utaanbulia kiti moto na rifti ya gari ukiuliza unapewa njia za kyzitafuta.
Utajibiwa kirahisi sana, hela upate wapi mpenzi wangu labda wakina kimei na beno nduro wanajua silikoeleke au kama vipi muulize M-pesa au tigo pesa wenda wakajua zilipoenda.
Ndo basi tena watatuhudumia mpaka mwisho wa ulimwengu kama upo.Sijui kwanini wanakwepa majukumu.
Mungu hajasema tuhudumie vimada au michepuko politely tunawaita gfs....tuna jukumu la kuhudumia wake na watoto wetu vimada ni optional!!!!
Jamani eh...
ngojeni nikopi nakupest msg zangu za whatsapp za jana...
Najua mhusika yupo hapa (naomba anisamehe)
Mimi: How is your day?
Demu: Bad
Mimi: Nini mbaya?
Demu: Nafikiria pa kupata laki sita mdogo wangu arudi shule
Kilichoendelea ni siri yetu...
ha ha kuna wengine kwenye kundi letu hutakiwi kuwatambua kabisa kwa sababu title ya kazi yao ni ma Ghost(invisible)
kama nani nitolee mfano wa mmojawapo
uenda wamejificha au? nidokezeee kwa sikio asisikie mtu hapa
Asubiri... huyo nishamsaidia kwa sasa... laki 6 tu jamani ingenishinda at this age?!!!
ungekuwa boyfriend wangu nakuchukua siku natoa list hiyo utanunua tu
Hhhhhaaa lionee umeogopa kuibiwaaa huyooo nitaamini vipi ulimpaaa wewwe
Sijakuelewa kabisa!!!!!!!Ucha ushamba domo zege wewe km una mandazi mdomoni huna ujanja. Umega kisera na pesa akatafute akikopeshwa andaiwa ndiyo nyie mnatemwa pesa ikiyumba.
mizinga inakatisha sana tamaa,huwezi kujua huyu serious kwenye relationship au not,mizinga ikizidi hata siku akiwa na tatizo serious unaweza kuchukulia utani,but kama demu hapigi mizinga akiwa na tatizo unaelewa unaweza kumtoa,sasa sugu la mizinga utalisaidia vipiDemu akishakuwa na mizinga ya sijala baby nimeishiwa salio baby,hafai namkataa fasta ni low class chick mwingine anakopa gari mafuta umuwekee wewe . Huwezi kukaa na mtu anaombaomba kama hana wazazi madem tamaa tamaa ata ukiswitch kwenye serious relationship wanasumbua hadi ndugu zake atataka utunze .
Ndo ivo... wasi wasi wangu ni siku akiniambia vits yangu imekwama bandarini zinahitajika m 4 kuitoa... nitaitoa but kiroho kitauma aisee...
Teh na ndio huko anakoelekeaaa we utanipa majibu
nami sijazungumizia hiyo michepuko yenu nazungumizia mke uliyenaye na si vinginevyo inaelekea mkuu hujanielewa wewe
usidandie comment ya mtu bila kuelewa anamaanisha nini\?
Unajua hali haiwi mbaya kama ukijau we ndo mdau namba moja wa kufaidi... ila huku kutenganishwa na maili elfu 10..
Inakuwa ngumu kweli