EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
vipi yametokea kwako?Wanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo.
Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
hahahaaaaaaaaKama mtoto atakuja kuwa kichwa maji mbeleni hukooooooo bc ninyimwe tuu ishu inakuja n nitajuaje 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mimi nilinyang'anywa mkuu, ila ipo siku mambo yatakua hadharani tuvipi yametokea kwako?
Ulimwaga na kuondoka alafu unajiita babaa????Ni Kweli Kabisa kuna Boya Analea Mtoto Wangu!!!
Nilimpa Mimba Mama Ake Ilikua 2014.... Yeye akaja Tu kuoa Hapo walikua kwenye mchakato!!!
Kila mwisho wa week lazima niongee na mwanangu kupitia Video Call!!! Ye anajua mi anko...
Alafu chata yangu kabisa kias kwamba nikitokea live haina haja ya DNA....hivi Mnaijua copy wakuu!!!!
Sijawah waza mbelen itakuaj lakin naacha yaende kama yanavoenda..
Mungu Saidia!!!![emoji25]
@rikiboy mkuu ujana una meng! Just I imagine hapo sipo sawa kuanzia kiuchumi mpaka kisaikolojia ...miaka 20 hiv!!! Kasolo......post: 37905855 said:Ulimwaga na kuondoka alafu unajiita babaa????
Acha kumtaja Mungu kwenye maovu yako ya makusudi. USITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO ( ikiwa na maana kama huna adabu na utii mbele za Mungu basi usitaje jina hilo MUNGU)Ni Kweli Kabisa kuna Boya Analea Mtoto Wangu!!!
Nilimpa Mimba Mama Ake Ilikua 2014.... Yeye akaja Tu kuoa Hapo walikua kwenye mchakato!!!
Kila mwisho wa week lazima niongee na mwanangu kupitia Video Call!!! Ye anajua mi anko...
Alafu chata yangu kabisa kias kwamba nikitokea live haina haja ya DNA....hivi Mnaijua copy wakuu!!!!
Sijawah waza mbelen itakuaj lakin naacha yaende kama yanavoenda..
Mungu Saidia!!!![emoji25]
Aaha haya mkuu ila huyo mzee akija kujua alafu ni polisi yatatokea makubwa sanaa...@rikiboy mkuu ujana una meng! Just I imagine hapo sipo sawa kuanzia kiuchumi mpaka kisaikolojia ...miaka 20 hiv!!! Kasolo......
Aliyeoa hapo ni police na vinyota vyake!! Ye akaona kanipiga fimbo...kumbe letu rohon mi na bibie!!
Tulikuwa tunajipanga Abortion...ye akaleta posa fasta na kung'ang'ania ndoa!!!kweli ikapita...
N.B
Tangu 2016 sijawahi kulud huo mkoa..zaid ya picha na mawasiliano tu; huku mama mtu akisisitiza yule ni mwanangu'' lazima anijue:
Tafanya nin mkuu!! Nimebak natazama tu yaende itakavokuwa huko mbele kwa mbele[emoji25]
Mimi nilinyang'anywa mkuu, ila ipo siku mambo yatakua hadharani tu
Ni Kweli Kabisa kuna Boya Analea Mtoto Wangu!!!
Nilimpa Mimba Mama Ake Ilikua 2014.... Yeye akaja Tu kuoa Hapo walikua kwenye mchakato!!!
Kila mwisho wa week lazima niongee na mwanangu kupitia Video Call!!! Ye anajua mi anko...
Alafu chata yangu kabisa kias kwamba nikitokea live haina haja ya DNA....hivi Mnaijua copy wakuu!!!!
Sijawah waza mbelen itakuaj lakin naacha yaende kama yanavoenda..
Mungu Saidia!!!![emoji25]
Mkuu Sijajitapa kuwa baba!! Hii iltokea tu!!Acha kumtaja Mungu kwenye maovu yako ya makusudi. USITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO ( ikiwa na maana kama huna adabu na utii mbele za Mungu basi usitaje jina hilo MUNGU)
Kwanza umekuwa mzinifu
Pili unamuita bwege mtu aliye kuja kumuoa huyo ulie mpa mimba na kumuepusha na u single mother.
Tatu, umetelekeza mtoto (Kama usinge telekeza ungemuoa wewe huyo mama wa mtoto)
Nne, unamuita bwege mtu ambaye yamkini halali anajitaabisha usiku wa manane mtoto anaumwa anaamka kuhangaika hospital na mambo yote ya malezi ya huyo unaye muita damu yako sijui copy!!
Daah ngoja niishie hapa kwa kusema tu wewe huna sifa za kuwa baba bali ni uhuni wa hovyo tu ulio kujaa.
Ulimwaga na kuondoka alafu unajiita babaa????
Yani hawa ndo kina nyangee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alikula kimasihara [emoji3]
ulimwaga ndani ?