Amesha zaa na huyo polisi?Ww Acha tu Mkuu!! Japo Mama Mzazi wa Bint Anafaham!! Lakin kauchuna!!!
Nyumban Niliwah mwambia Mzee wangu!! Akaniambia Nifunge Bakuli(mdomo) kabisa!!!
Yaan nikae mbali kama ni damu huwa haipotei!...
Ndo hvo!! Naacha liende tu: