Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,400
- 2,884
Yani hawa ndo kina nyangee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari aisee. Wanaanzaga hivi hivi
Yani hawa ndo kina nyangee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww Acha tu Mkuu!! Japo Mama Mzazi wa Bint Anafaham!! Lakin kauchuna!!!Aaha haya mkuu ila huyo mzee akija kujua alafu ni polisi yatatokea makubwa sanaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani hawa ndo kina nyangee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja Nifungue uzi mkuu!! Nipate darasa mujarabu:Yani hawa ndo kina nyangee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, Kama ulivyo kubali kumuacha hiyo mtoto (tangu mimba) na ukakubali mama aolewe na kujiondoa rasmi kwenye maisha yako na kuunda familia mpya basi unatakiwa ukubali pia hivyo hivyo kuwa mtoto huyo si wako tena hesabu tu kama vile umemtoa sadaka endelea na maisha yako mengine na usiwe na tamaa nae kabisaa.Mkuu Sijajitapa kuwa baba!! Hii iltokea tu!!
Lakin ninacho muonea huruma huyo jamaa!!! Akija gundua....Ndo Maana Mi Nimeacha liende tu ..
Mtoto yuko primary sasa:..
Hata kama ni wwe utafanya Nin sasa!?
Asante kwa ushauri mkuu!!!!Mkuu, Kama ulivyo kubali kumuacha hiyo mtoto (tangu mimba) na ukakubali mama aolewe na kujiondoa rasmi kwenye maisha yako na kuunda familia mpya basi unatakiwa ukubali pia hivyo hivyo kuwa mtoto huyo si wako tena hesabu tu kama vile umemtoa sadaka endelea na maisha yako mengine na usiwe na tamaa nae kabisaa.
Makosa yako ya mwanzo (harakati za ujana wako) zisiwe sababu ya wewe kuharibu familia ya mtu mwengine anaye ishi kwa amani na upendo kwa familia yake. Usiwe sababu ya kuharibu maisha ya mtu asiye na hatia kaa mbali na hiyo familia kabisa.
Kuna mazingira tegemezi kwa kila tukio la ujauzito.... Inaweza kuwa mmepanga kupata mtoto, inaweza kuwa mwanamme kaamua kwa sababu zake kuzaa nawe... Labda kakupenda! ,na hapa haijalishi yupo katika status gani... Labda anahitaji kujinufaisha.. mfano wapo waliozaa na wanaume wajengewe nyumba, magari au urithi nk. Wapo waliozaa bila hiyari yao... Kubakwa, ujinga, kuleweshwa nk. So mwanamke kusema mtoto huyu ni wako anasababu zaidi ya kukupenda.Wanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo.
Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
Word...Kuna mazingira tegemezi kwa kila tukio la ujauzito.... Inaweza kuwa mmepanga kupata mtoto, inaweza kuwa mwanamme kaamua kwa sababu zake kuzaa nawe... Labda kakupenda! ,na hapa haijalishi yupo katika status gani... Labda anahitaji kujinufaisha.. mfano wapo waliozaa na wanaume wajengewe nyumba, magari au urithi nk. Wapo waliozaa bila hiyari yao... Kubakwa, ujinga, kuleweshwa nk. So mwanamke kusema mtoto huyu ni wako anasababu zaidi ya kukupenda.
Mwanamke akizaa bila kuolewa ana haki ya kumpa mtoto amtakaye,na huwezi kimfanya loloteWanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo.
Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
Ni Kweli Kabisa kuna Boya Analea Mtoto Wangu!!!
Nilimpa Mimba Mama Ake Ilikua 2014.... Yeye akaja Tu kuoa Hapo walikua kwenye mchakato!!!
Kila mwisho wa week lazima niongee na mwanangu kupitia Video Call!!! Ye anajua mi anko...
Alafu chata yangu kabisa kias kwamba nikitokea live haina haja ya DNA....hivi Mnaijua copy wakuu!!!!
Sijawah waza mbelen itakuaj lakin naacha yaende kama yanavoenda..
Mungu Saidia!!!![emoji25]
Mpuuzi kama wewe ndye alinijeruhi ktk maisha na ulaaniwe mwanakwenda usirudie kuanika uhaini kama huu hapa janviniNi Kweli Kabisa kuna Boya Analea Mtoto Wangu!!!
Nilimpa Mimba Mama Ake Ilikua 2014.... Yeye akaja Tu kuoa Hapo walikua kwenye mchakato!!!
Kila mwisho wa week lazima niongee na mwanangu kupitia Video Call!!! Ye anajua mi anko...
Alafu chata yangu kabisa kias kwamba nikitokea live haina haja ya DNA....hivi Mnaijua copy wakuu!!!!
Sijawah waza mbelen itakuaj lakin naacha yaende kama yanavoenda..
Mungu Saidia!!!![emoji25]
hahahahaaaaaa ulijeruhiwa kwa ujinga wako mwenyewe usilete lawama zako hapa. Mkiwa kitandani Mnakua na furaha kweli.Mpuuzi kama wewe ndye alinijeruhi ktk maisha na ulaaniwe mwanakwenda usirudie kuanika uhaini kama huu hapa janvini
Mi Sina cha kuongea Bora umenisaidia mkuu[emoji120]hahahahaaaaaa ulijeruhiwa kwa ujinga wako mwenyewe usilete lawama zako hapa. Mkiwa kitandani Mnakua na furaha kweli.
We acha tu hawa ni kukaa nao kwa akiliWanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo.
Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
Inauma sana mkuu.Acha kumtaja Mungu kwenye maovu yako ya makusudi. USITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO ( ikiwa na maana kama huna adabu na utii mbele za Mungu basi usitaje jina hilo MUNGU)
Kwanza umekuwa mzinifu
Pili unamuita bwege mtu aliye kuja kumuoa huyo ulie mpa mimba na kumuepusha na u single mother.
Tatu, umetelekeza mtoto (Kama usinge telekeza ungemuoa wewe huyo mama wa mtoto)
Nne, unamuita bwege mtu ambaye yamkini halali anajitaabisha usiku wa manane mtoto anaumwa anaamka kuhangaika hospital na mambo yote ya malezi ya huyo unaye muita damu yako sijui copy!!
Daah ngoja niishie hapa kwa kusema tu wewe huna sifa za kuwa baba bali ni uhuni wa hovyo tu ulio kujaa.