Mwanamke akikupenda anaweza kukupatia mtoto asiye wako

Aaha haya mkuu ila huyo mzee akija kujua alafu ni polisi yatatokea makubwa sanaa...
Ww Acha tu Mkuu!! Japo Mama Mzazi wa Bint Anafaham!! Lakin kauchuna!!!

Nyumban Niliwah mwambia Mzee wangu!! Akaniambia Nifunge Bakuli(mdomo) kabisa!!!

Yaan nikae mbali kama ni damu huwa haipotei!...

Ndo hvo!! Naacha liende tu:
 
Itategemea huyo mtoto feature yake itakuaje, akiwa mzigo atakua wako, ila akiwa anamanufaa hata husiangaike kujipendekeza.
 
Mkuu Sijajitapa kuwa baba!! Hii iltokea tu!!

Lakin ninacho muonea huruma huyo jamaa!!! Akija gundua....Ndo Maana Mi Nimeacha liende tu ..

Mtoto yuko primary sasa:..

Hata kama ni wwe utafanya Nin sasa!?
Mkuu, Kama ulivyo kubali kumuacha hiyo mtoto (tangu mimba) na ukakubali mama aolewe na kujiondoa rasmi kwenye maisha yako na kuunda familia mpya basi unatakiwa ukubali pia hivyo hivyo kuwa mtoto huyo si wako tena hesabu tu kama vile umemtoa sadaka endelea na maisha yako mengine na usiwe na tamaa nae kabisaa.

Makosa yako ya mwanzo (harakati za ujana wako) zisiwe sababu ya wewe kuharibu familia ya mtu mwengine anaye ishi kwa amani na upendo kwa familia yake. Usiwe sababu ya kuharibu maisha ya mtu asiye na hatia kaa mbali na hiyo familia kabisa.
 
Asante kwa ushauri mkuu!!!!

Lakin Mama Ake!! Ndo Ananitafuta hata kama nikipotezea!!!!

Akinichek Whatsaap Kidogo Naona Vid Call!! Ongea na anko!!!!!...

Ama Messenger FB kule Nakuta picha!!!....Ndo hvo:
Lakin Mim Pia Nimejitahid Nisilud Ule mkoa Miaka 4 sasa!! Kuhusiana na hili mkuu mi Nimeacha Liende tu;

Japo Walizaa Mwingine Tena:
 
Yaani kuna Binti kaamua kunipa mtoto... Ameamua kuacha ujana wake ili alee mimba yangu, anaamini mimi ni caring na civilzed...

Nilichoamua nikulea mimba na yeye, asijetoa mimba akawa kwenye hatari huku ameua. Ila endapo sio wangu nitajua tu...

Mimba haikataliwi, cause damu haipotei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo.

Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
Kuna mazingira tegemezi kwa kila tukio la ujauzito.... Inaweza kuwa mmepanga kupata mtoto, inaweza kuwa mwanamme kaamua kwa sababu zake kuzaa nawe... Labda kakupenda! ,na hapa haijalishi yupo katika status gani... Labda anahitaji kujinufaisha.. mfano wapo waliozaa na wanaume wajengewe nyumba, magari au urithi nk. Wapo waliozaa bila hiyari yao... Kubakwa, ujinga, kuleweshwa nk. So mwanamke kusema mtoto huyu ni wako anasababu zaidi ya kukupenda.
 
Word...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo.

Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
Mwanamke akizaa bila kuolewa ana haki ya kumpa mtoto amtakaye,na huwezi kimfanya lolote
 

Wewe ndio boya [emoji23]
 
Mpuuzi kama wewe ndye alinijeruhi ktk maisha na ulaaniwe mwanakwenda usirudie kuanika uhaini kama huu hapa janvini
 
Mpuuzi kama wewe ndye alinijeruhi ktk maisha na ulaaniwe mwanakwenda usirudie kuanika uhaini kama huu hapa janvini
hahahahaaaaaa ulijeruhiwa kwa ujinga wako mwenyewe usilete lawama zako hapa. Mkiwa kitandani Mnakua na furaha kweli.
 
Wanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo.

Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
We acha tu hawa ni kukaa nao kwa akili
 
Inauma sana mkuu.
Utakuta MTU kama huyu baba yake ni mwingine.
Mama yake naye alimbambikia huyo yeye anayeamini ni babaye.

Muanzisha mada ana hoja ya msingi sana kuhusu hawa viumbe wanawake,mama yangu mzazi aliwahi kuniambia wakati naoa kuwa ishi na mkeo kwa akili sana maana sisi wanawake akiki zetu so nyingi kama nyie wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…